Kurudia kosa ndo kosa,saiv jikaze kisabuni songa mbereeeAisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.
Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu. Sijawahi kuwa nae mahusiano maana heshima ni 100 %.
Mwaka jana February alinikopa hela kiasi cha TZS Million 1 aongezee mtaji afungue Saloon kwa makubaliano anirudishie baada ya miezi 3. Mwanaume nikajikamua nikampatia. Shit!
Anazingua na kiswahili kila kukicha. Halafu mbaya zaidi simu zangu anarespond vizuri tu.Ila kwenye kufunguka anipe pesa zangu.
Kuna wakati anakuwa kama ananitaka kimapenzi indirectly. Mm sitaki maana hana mvuto kabisa.
Nifanyeje jamani ili mwanamke anirudishie pesa yangu?
Hahahaaaaa hiyo ni kweli mkuu njaa mbaya sana ya hawa viumbeYani wanawake wana njaa mpaka wanaboa
Sio wote.mimi kuna mtu nimemkopesha naheshimiana nae.laki 5 mpaka Leo sijalipwa.inakaribia mwaka.na ni mwanammeYani wanawake wana njaa mpaka wanaboa
Du....umeingia mkenge.Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.
Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu. Sijawahi kuwa nae mahusiano maana heshima ni 100 %.
Mwaka jana February alinikopa hela kiasi cha TZS Million 1 aongezee mtaji afungue Saloon kwa makubaliano anirudishie baada ya miezi 3. Mwanaume nikajikamua nikampatia. Shit!
Anazingua na kiswahili kila kukicha. Halafu mbaya zaidi simu zangu anarespond vizuri tu.Ila kwenye kufunguka anipe pesa zangu.
Kuna wakati anakuwa kama ananitaka kimapenzi indirectly. Mm sitaki maana hana mvuto kabisa.
Nifanyeje jamani ili mwanamke anirudishie pesa yangu?
Teh ehe eheeee, million unakulka akina zari wawili.Teh eh..Kuwa makini mzee..Usije ukauziwa papuchi kwa milioni 1
Saloon haiwezi rudisha 1 million kwa miezi 3Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.