Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Nimeamini pasipo shaka kuwa Wabunge wa CCM hawana uwezo kabisa wa kuihoji Serikali kwanini imeshindwa kutekeleza Bajeti ya Maendeleo ya 2016/2017 Kwa asilimia zaidi ya 50% badala yake imetekelezwa Kwa asilimia 34%.Wabunge wa Upinzani ndio wamekuwa Na Utayari kuiambia Serikali huku wenye Serikali wakikaa kimya.Nchi hii chini ya CCM hakuna Maendeleo Wapinzani wanaiita BAJETI HEWA ya HAPA KAZI TU