Bwana Steve Ndaula ni kijana mdogo ambae alianzisha kampuni ya upatu/pyramid scheme ya Bestways Capital Management ambayo imewatapeli watu zaidi ya Sh. Bilioni 16 na kisha akakimbilia Dubai. Steve alisoma chuo cha IMTU fani ya Udaktari kuanzia mwaka 2012 hadi 2017. Mwaka 2016, mwaka mmoja...