Nimeamini Hayati Magufuli alikuwa ni mtu wa pekee sana kwa ubora

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,622
Reaction score
3,144
Wengi wetu tunajua harakati za kila aina zinazofanywa na baadhi ya watu kumdhihaki JPM.
Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali.

Ebu fikiri, watu wazima walio hai wanaunda hadi mkakati maalumu wa kumchafua JPM aliyezikwa kaburini.

Ni sawa na mtu aliyefungwa kichwa, miguu na mikono kwenye mti halafu linajitokeza kundi la watu linaanza kumshambulia mtu huyo. Hiyo si aibu kubwa kabisa ya kiwango cha Kimataifa?
Nilichogundua ni kwamba, JPM alikuwa ni MOTO wa Nyuklia.

Shida iliyopo sasa ni kwamba, wote waliotofautiana na JPM bado wanamwogopa hata kama amezikwa.
Mbaya zaidi, hata baadhi ya waliopo madarakani bado wanamwogopa, hivyo wanashindwa kujiamini.

Atukuzwe Mungu aliyetuletea JPM ili atuoneshe njia ya kweli.
 
Lete ushahidi wa hilo kundi angalau kwa kikao kimoja tu na ajenda zake walivyopanga huo mkakati wa kumchafua magufuli ,usisahau orodha ya wajumbe kutuwekea HAPA!
 
Wengi wetu tunajua harakati za kila aina zinazofanywa na baadhi ya watu kumdhihaki JPM.
Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali.

Ebu fikiri, watu wazima walio hai wanaunda hadi mkakati maalumu wa kumchafua JPM aliyezikwa kaburini.

Ni sawa na mtu aliyefungwa kichwa, miguu na mikono kwenye mti halafu linajitokeza kundi la watu linaanza kumshambulia mtu huyo. Hiyo si aibu kubwa kabisa ya kiwango cha Kimataifa?
Nilichogundua ni kwamba, JPM alikuwa ni MOTO wa Nyuklia.

Shida iliyopo sasa ni kwamba, wote waliotofautiana na JPM bado wanamwogopa hata kama amezikwa.
Mbaya zaidi, hata baadhi ya waliopo madarakani bado wanamwogopa, hivyo wanashindwa kujiamini.

Atukuzwe Mungu aliyetuletea JPM ili atuoneshe njia ya kweli.
Nenda Chato ukajichimbie karibu na kaburi lake,
Alisinika mlevi mmoja kutoka NGOGWE.
 
Ubora wa kuzulumu watu huko NSSF ..yaani niteseke shule na umande halafu mtu aje kukwapuwa KIBABE mafao yangu....huo ni USHETANI

Watu TUMESAFA kipindi cha Covid...zaidi 3 years no ajira

Huko motoni.....

25 sio mbali tutakutana HAPA HAPA
 
Binadamu kuendelea kusimangwa na kusemwa vibaya hata baada ya kufa si jambo jema kwa huyo marehemu ni dalili ya mtu kuwa mtu wa motoni🔥.
 
Yes! He was..
20211201_212634.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wetu tunajua harakati za kila aina zinazofanywa na baadhi ya watu kumdhihaki JPM.
Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali.

Ebu fikiri, watu wazima walio hai wanaunda hadi mkakati maalumu wa kumchafua JPM aliyezikwa kaburini.

Ni sawa na mtu aliyefungwa kichwa, miguu na mikono kwenye mti halafu linajitokeza kundi la watu linaanza kumshambulia mtu huyo. Hiyo si aibu kubwa kabisa ya kiwango cha Kimataifa?
Nilichogundua ni kwamba, JPM alikuwa ni MOTO wa Nyuklia.

Shida iliyopo sasa ni kwamba, wote waliotofautiana na JPM bado wanamwogopa hata kama amezikwa.
Mbaya zaidi, hata baadhi ya waliopo madarakani bado wanamwogopa, hivyo wanashindwa kujiamini.

Atukuzwe Mungu aliyetuletea JPM ili atuoneshe njia ya kweli.
Mzee wa Msoga kwa Sasa ameunda kamati ya kumsaidia mama Samia ,kwa kumchafua Magufuli.Aina yeyote ya sera za uchafuaji huwa ni sera za mzee wa MSOGA.Utakumbuka alimchafua Sana Ahmed Salim.,kwenye kugombea urais mwaka 2005.Baadae Alipoiba Lowassa anamzid kete za uongozi akaanza kumchafua.Watu wengi walifikiri kwamba Lowasa ni fisadi kumbe ,mzee wa Msoga alikuwa kazini.Mtindo wanaotumia ni ulele kumchafua JPM.Lakin JPM achafuki kabisa.Wao ndio wanazid kupoteana.JPM kafanya makubwa Sana kuliko Rais yeyote Tanzania.Utamchafua vip?Pia JPM anakubalika na wananchi kuliko Samia .Kwa hiyo wanatapatapa tu.
 
Waambieni ukweli tu hao mnao wadanganya eti wakitumia "Legacy" wataweza kufanikiwa kisiasa. Najua ndo wana watuma humu kuja ku test kama Legacy inakubalika au la.

Ukweli ni kwamba JPM hakuacha Legacy, ila kaacha kashfa. Kama mnadhani kashfa zitawasaidia kujijenga kisiasa endeleeni na mikakati yenu.
 
Wengi wetu tunajua harakati za kila aina zinazofanywa na baadhi ya watu kumdhihaki JPM.
Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali.

Ebu fikiri, watu wazima walio hai wanaunda hadi mkakati maalumu wa kumchafua JPM aliyezikwa kaburini.

Ni sawa na mtu aliyefungwa kichwa, miguu na mikono kwenye mti halafu linajitokeza kundi la watu linaanza kumshambulia mtu huyo. Hiyo si aibu kubwa kabisa ya kiwango cha Kimataifa?
Nilichogundua ni kwamba, JPM alikuwa ni MOTO wa Nyuklia.

Shida iliyopo sasa ni kwamba, wote waliotofautiana na JPM bado wanamwogopa hata kama amezikwa.
Mbaya zaidi, hata baadhi ya waliopo madarakani bado wanamwogopa, hivyo wanashindwa kujiamini.

Atukuzwe Mungu aliyetuletea JPM ili atuoneshe njia ya kweli.
Tatizo kubwa la yule mzee alikuwa hata criticism. Alikuwa mtu anayehitaji sifa tu. Madhara ya kuwazuia watu kusema ndio haya sasa anasemwa akiwa kuzimu. Acha watu waseme, nasema waaachweee!!!!

JESUS IS SAVIOR
 
Wengi wetu tunajua harakati za kila aina zinazofanywa na baadhi ya watu kumdhihaki JPM.
Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali.

Ebu fikiri, watu wazima walio hai wanaunda hadi mkakati maalumu wa kumchafua JPM aliyezikwa kaburini.

Ni sawa na mtu aliyefungwa kichwa, miguu na mikono kwenye mti halafu linajitokeza kundi la watu linaanza kumshambulia mtu huyo. Hiyo si aibu kubwa kabisa ya kiwango cha Kimataifa?
Nilichogundua ni kwamba, JPM alikuwa ni MOTO wa Nyuklia.

Shida iliyopo sasa ni kwamba, wote waliotofautiana na JPM bado wanamwogopa hata kama amezikwa.
Mbaya zaidi, hata baadhi ya waliopo madarakani bado wanamwogopa, hivyo wanashindwa kujiamini.

Atukuzwe Mungu aliyetuletea JPM ili atuoneshe njia ya kweli.
JPM THE GREAT SIYO YULE MZEE WA MSOGA ALIYE ALISHWA .....KUNA KUZAA NA KUHALISHA
 
Back
Top Bottom