Nimeamini hakuna UKIMWI pamoja na haya yote eti bado niko negative!!!!!!

Mkuu nimekusoma vizuri!! Asanteee kwa ujumbe mzuri sana
Soma semi hizi ndiyo ushauri wangu kwako Mkuu:-

1. Mshumaa husaidia kutoa mwanga, lakini huku unateketea. Hii inaitwa huruma ya mshumaa. Kama inafaa endelea...

2. Huwezi kunywa sumu mwenyewe alafu utegemee afe mtu mwingine. Sumu ulizokunywa zilikuwa "harmless" na uhakika ukiendelea na tabia hiyo ipo siku utakipata unachokitafuta.

3. Huwezi kuvuka daraja kabla hujalifikia. Huwezi kuwa na UKIMWI kama hujaupata.

4. Kila mtu ni kilema mtarajiwa. Ingawa siyo lazima ukipate ktk maisha yako.

5. Kama hujui kufa tazama kaburi. Kama huna UKIMWI/HIV tazama wenye UKIMWI/HIV. Hapa utapata majibu mazuri tu kama upo au haupo.
 
Kupima ukimwi Dr anapata wapi muda wa kukupa majibu? Hizo ni issue za lab technician acha kupiga watu fix Son.
Mkuu kuna hosp Dr ndiyo anakupa majibu, mfano Marie Stopes Mwenge Lab hawatoi majibu ni Dr tu ndiyo anaekupa.
 
Back
Top Bottom