Nimeamini hakuna UKIMWI pamoja na haya yote eti bado niko negative!!!!!!

Usijidanganye mkuu. Kuwa muangalifu Ukimwi upo tena sana. Kama ww ni mtz lazima kuna ndugu jama ama rafiki yako amewai kumbwa na hili ni ajali kama jambazi vile anaweza iba hata miaka 40 hadi akasema duuuh kweli hii kazi raha sikamatwi tuu..
 
Nilitaka Nikupe Kongole Kwa Uchambuzi Wako Mzuri Wa Neno ''Ukimwi ", Lakn umeharibu Kwa hayo Maneno Yako Ya Chini, etii Kuna Virus vinavyosababisha Ukimwi. Ilaa Sio Mbaya taratibu utaujua Ukweli kuhusu huoo Ugonjwa fekii...
Ukimwi means Upungufu wa Kinga Mwilini.

Unaweza ukaugua malaria ukawa na Ukimwi.

Elimu ndogo sana juu ya hili neno UKIMWI.

Ila virusi vinavyoweza kusababisha hiyo hali vipo sana tusidanganyane.

Ila omba visikupate.
 
Yaan tokea mwaka 2003 nilipotambua utamu fulani, ikabidi nizichezee tamu za watu, sweet part of their bodies,

Niwe mkweli huwa sipendi kutumia mpira,

Nimetembea na Barmaid wawili bila kinga,

Nilienda uhuru peak zamani nikatembea na changudoa kondom ikapasuka,

Kibaha nimekutana na mwanamke anaitwa ***** anauza hotel wanasema ni hatari lakin nilimpitia, bila kinga

January mwaka 2010 nilitembelea mafinga iringa kwa muda mrefu nimekaa sana nika watoto bila kinga kabisa, ni matatizo,

Sasa juzi imetokea kikazi fumani.cha wazungu katika medical report wanataka na HIV status aiseeeeee nilitamani niachane na kazi hiyo lakin nilipochek mshahara wake mkubwa sana alafu nina madeni kibao, ikabidi nikubali kupima,

Daktari alivyosema hauna UKIMWI nilimwangalia nkadhani mwongo, dah

Aisee UKIMWI hakuna haki kama.mimi sina
Komaa sasa,saiv utaupata
 
Njoo nikupe demu wangu upige peku baada ya mwezi uje kuleta mrejesho hapa
 
Yaan tokea mwaka 2003 nilipotambua utamu fulani, ikabidi nizichezee tamu za watu, sweet part of their bodies,

Niwe mkweli huwa sipendi kutumia mpira,

Nimetembea na Barmaid wawili bila kinga,

Nilienda uhuru peak zamani nikatembea na changudoa kondom ikapasuka,

Kibaha nimekutana na mwanamke anaitwa ***** anauza hotel wanasema ni hatari lakin nilimpitia, bila kinga

January mwaka 2010 nilitembelea mafinga iringa kwa muda mrefu nimekaa sana nika watoto bila kinga kabisa, ni matatizo,

Sasa juzi imetokea kikazi fumani.cha wazungu katika medical report wanataka na HIV status aiseeeeee nilitamani niachane na kazi hiyo lakin nilipochek mshahara wake mkubwa sana alafu nina madeni kibao, ikabidi nikubali kupima,

Daktari alivyosema hauna UKIMWI nilimwangalia nkadhani mwongo, dah

Aisee UKIMWI hakuna haki kama.mimi sina
Unautaka e badala ya kushukur unajisifu
 
Mkuu huu ududu upo ohooo.Nimemwona mtu juzi magonjwa nyemelezi yamemtoka aisee!!!!!
 
Mjomba wangu alikua naye anadhani ni hadithi tu,acha umbane huo UKIMWI,ARVs ndiyo zimefanya nikamkuta la sivyo nisingemkuta.Naogopa UKIMWI sana hatakama dawa zakufubaisha zipo.
Ule ugonjwa ni mbaya sana...kama huna uzidi kumshukuru Mungu na kuacha uzinzi basi
 
Kabisa,wanaochukulia utani nawashangaa,yaani kwa mateso wanayopata wale niliowakuta ndiyo wanaanza kunywa ARVs,naomba Mungu anisaidie nisiupate,nami ntajitahidi kuuepuka.
Ule ugonjwa ni mbaya sana...kama huna uzidi kumshukuru Mungu na kuacha uzinzi basi
 
Yaan tokea mwaka 2003 nilipotambua utamu fulani, ikabidi nizichezee tamu za watu, sweet part of their bodies,

Niwe mkweli huwa sipendi kutumia mpira,

Nimetembea na Barmaid wawili bila kinga,

Nilienda uhuru peak zamani nikatembea na changudoa kondom ikapasuka,

Kibaha nimekutana na mwanamke anaitwa ***** anauza hotel wanasema ni hatari lakin nilimpitia, bila kinga

January mwaka 2010 nilitembelea mafinga iringa kwa muda mrefu nimekaa sana nika watoto bila kinga kabisa, ni matatizo,

Sasa juzi imetokea kikazi fumani.cha wazungu katika medical report wanataka na HIV status aiseeeeee nilitamani niachane na kazi hiyo lakin nilipochek mshahara wake mkubwa sana alafu nina madeni kibao, ikabidi nikubali kupima,

Daktari alivyosema hauna UKIMWI nilimwangalia nkadhani mwongo, dah

Aisee UKIMWI hakuna haki kama.mimi sina
Soma semi hizi ndiyo ushauri wangu kwako Mkuu:-

1. Mshumaa husaidia kutoa mwanga, lakini huku unateketea. Hii inaitwa huruma ya mshumaa. Kama inafaa endelea...

2. Huwezi kunywa sumu mwenyewe alafu utegemee afe mtu mwingine. Sumu ulizokunywa zilikuwa "harmless" na uhakika ukiendelea na tabia hiyo ipo siku utakipata unachokitafuta.

3. Huwezi kuvuka daraja kabla hujalifikia. Huwezi kuwa na UKIMWI kama hujaupata.

4. Kila mtu ni kilema mtarajiwa. Ingawa siyo lazima ukipate ktk maisha yako.

5. Kama hujui kufa tazama kaburi. Kama huna UKIMWI/HIV tazama wenye UKIMWI/HIV. Hapa utapata majibu mazuri tu kama upo au haupo.
 
Kazana unachokitafuta utakipata mkuu, si unasema UKIMWI hakuna sawa mkuu

Mtoto akishiba vilivyobakia anasema tumwage hajuwi masaa machache tu atapata njaa.
 
Yaan tokea mwaka 2003 nilipotambua utamu fulani, ikabidi nizichezee tamu za watu, sweet part of their bodies,

Niwe mkweli huwa sipendi kutumia mpira,

Nimetembea na Barmaid wawili bila kinga,

Nilienda uhuru peak zamani nikatembea na changudoa kondom ikapasuka,

Kibaha nimekutana na mwanamke anaitwa ***** anauza hotel wanasema ni hatari lakin nilimpitia, bila kinga

January mwaka 2010 nilitembelea mafinga iringa kwa muda mrefu nimekaa sana nika watoto bila kinga kabisa, ni matatizo,

Sasa juzi imetokea kikazi fumani.cha wazungu katika medical report wanataka na HIV status aiseeeeee nilitamani niachane na kazi hiyo lakin nilipochek mshahara wake mkubwa sana alafu nina madeni kibao, ikabidi nikubali kupima,

Daktari alivyosema hauna UKIMWI nilimwangalia nkadhani mwongo, dah

Aisee UKIMWI hakuna haki kama.mimi sina

Kuanzia hapa sasa jaribu huo mchezo utakuja kutuambia tofauti, furaha kama hii inaendana na maamuzi ya kubadilika
 
Duh..mkuu hivi hata wewe mwenyewe umeelewa maana ya ulichoandika.?
Tatizo liko kwenye vipimo,undefinedundefinedkuna malaya wengi tu wapo tangu miaka ya 80,wanadunda tu,undefinedkwa kasi ya ngono,ukimwi ungeshaua nusu ya watu mpaka sasa,undefinedkina jacobo zuma wanajua vizuri sana habari hii ya ukimwi
 
Endelea kutembeza rungu bila condom ipo siku itakuwa reactive .Kila siku huwa najisemea hata wao walio positive kwa sasa kuna mida walikuwa negative.
 
Back
Top Bottom