Kitendo cha kusikitisha wameambiwa waombe msamaha wakakataaKwenye mada moja kwa moja kile kilichotokea jana kwa kwa wanachama wa CHADEMA,19. Halima Mdee na wenzake kuwafukuza rasmi uanachama wengi hawakukitegemea. Wengi walijua wale wabunge wa kujipeleka wangependelewa na kuonewa huruma either walitegemea waachiwe wamalizie muda wa ubunge waliojipeleka au ubunge wao usitambuliwe bali waendelee kuwa wanachama. Nisema tu ukweli,hata mimi sikutegemea maamuzi ya kuwafukuza. Lakini pia kwa jinsi hatua za kidemocrasia zilivyofuatwa za kupiga kura. Ni hatua za uhuru na democracy kila mtu ashiriki maamuzi. Hatimae chini ya mwenyekiti Mbowe maamuzi huru yamepatikana,nimeridhishwa na hayo maamuzi kwa 100%. Huyo ndio Mbowe kiongozi.
Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.
Viva CHADEMA viva Mbowe.
Na hiyo ni shida ipo kwa wanawake,wamepewa wasaa wa kuomba msamaha wamekaidi wamefukuzwa feminist mdee anasema ni uhuni kuna uhuni zaidi ya walioufanya wao wa kuapishwa vichochoroni?Kitendo cha kusikitisha wameambiwa waombe msamaha wakakataa
Gaidi la saccos halina umakini wowote.Kwenye mada moja kwa moja kile kilichotokea jana kwa kwa wanachama wa CHADEMA,19. Halima Mdee na wenzake kuwafukuza rasmi uanachama wengi hawakukitegemea.
Wengi walijua wale wabunge wa kujipeleka wangependelewa na kuonewa huruma either walitegemea waachiwe wamalizie muda wa ubunge waliojipeleka au ubunge wao usitambuliwe bali waendelee kuwa wanachama.
Nisema tu ukweli,hata mimi sikutegemea maamuzi ya kuwafukuza. Lakini pia kwa jinsi hatua za kidemocrasia zilivyofuatwa za kupiga kura.
Ni hatua za uhuru na democracy kila mtu ashiriki maamuzi. Hatimae chini ya mwenyekiti Mbowe maamuzi huru yamepatikana,nimeridhishwa na hayo maamuzi kwa 100%. Huyo ndio Mbowe kiongozi.
Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.
Viva CHADEMA viva Mbowe.
Naunga mkono hoja ✍️✍️✍️Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.
Kabisa Mbowe ameonesha uongozi uliotukuka kabisa, huyu tuambatane naye hadi awe rais.Kwenye mada moja kwa moja kile kilichotokea jana kwa kwa wanachama wa CHADEMA,19. Halima Mdee na wenzake kuwafukuza rasmi uanachama wengi hawakukitegemea.
Wengi walijua wale wabunge wa kujipeleka wangependelewa na kuonewa huruma either walitegemea waachiwe wamalizie muda wa ubunge waliojipeleka au ubunge wao usitambuliwe bali waendelee kuwa wanachama.
Nisema tu ukweli,hata mimi sikutegemea maamuzi ya kuwafukuza. Lakini pia kwa jinsi hatua za kidemocrasia zilivyofuatwa za kupiga kura.
Ni hatua za uhuru na democracy kila mtu ashiriki maamuzi. Hatimae chini ya mwenyekiti Mbowe maamuzi huru yamepatikana,nimeridhishwa na hayo maamuzi kwa 100%. Huyo ndio Mbowe kiongozi.
Ushauri wangu kwa akina Halima Mdee kwa sasa wawe watulivu. Baadae waandike barua za kutambua makosa yao na waombe msamaha kwa dhati kabisa. Chini ya mwenyekiti Mbowe watarudishwa kundini.
Viva CHADEMA viva Mbowe.
Leo mimba yako taratibu, kama una kichefuchefu lamba ndimuGaidi la saccos halina umakini wowote.
Ukiona anaongea na Rais na Mwenyekiti wa Chama kipekee roho hukuuma sana Wewe! Na hii ndiyo tofauti yake na Wewe! Mbingu na Ardhi!Umakini wake umesihia hapo tu,
Ila hana umakini wowote wa kumfanya walau chama kitinge ikulu
Huyu mwamba nikimfikiria,natamani hata kesho atuongoze. Nchi za wenzetu huyu ni lulu. Mambo yake hayaendeshi kwa pupa au mihemko ya watu fulani. Anaongoza kwa busara na akili nyingiNi kiongozi hodari mwenye akili kubwa pia.
View attachment 2221329
Mbowe bonge la kiongozi. Naamini hatapotea bure. Pamoja na uhuni anaofanyiwa na ccm ,lakini MUNGU ni mwema,atatumika siku katika nchi hiiMbowe ni kiongozi bora kuwahi kutokea karne hii. Ninaamini angepewa serikali, vilio vilivyo sikika ndani ya miongo mitatu ya hivi karibuni visingekuwapo tena.
Kiongozi kama huyu, hajawahi na hawezi kupatikana CCM. Kwani uuaji na uonevu ndo sifa ya viongozi huko CCM. Mbaya zaidi CCM ikapata kiongozi mwenye sifa hizo kwa kiwango kikubwa awamu iliyo pita, CCM wakafurahia sana matendo yake, ila Mungu mwenye huruma nyingi, akawaonea huruma wanyonge wa Tanzania kwa kuingilia kati.
Tumwombe Mungu asiishie hapo tu, bali atuondolee hiki kikundi cha laana CCM, na kutupa Mbowe ili angalau tufute machozi yetu tulio wanyonge wa nchi hii.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kuwafukuza akina mdee ni kutoangalia ulikotoka na unakokwenda. It is a self inflicted homicide.
Kweli kabisa.Walimtegemea sana mwendazake na ndugai. Hakika nimeamini dunia inaenda kasi sana. Usiache mbachao kwa msala upitao. Wakamdharau Mbowe kwa fadhira za muda tu