No, serikali ndio ilijua kwa support ya Chadema watu wataleta vurugu hivyo watapata cha kufanya.mmethibitiwa, mlijua watu watawasupport ila imekula kwenu;
MBOWE: Tumeshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki
Mkuu nasikia siku mbili kabla maaskofu walimwambia kutokana na mvutano wa kanisa na serikali kuhusu waraka si vyema rais apewe muda wa kuongea siku hiyo lkn usalama ukalazimisha, baada ya kuona hivyo maaskofu wakasusa kuongoza misa.Matukio kadhaa yaliyojitokeza siku za karibuni kwa Chadema, ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ilikuwa na nia ya kuwachokoza wafuasi wa Chadema wa berserk kisha ipate cha kufanya au kusema.
Kitendo cha kuzuia hata Landrover kuwapeleka viongozi mahakamani kupewa dhamana ili walale rumande ni dalili mbaya lakini Chadema wakatulia bila fujo na kwenda EU kuwaeleza kinachoendelea.
Malengo yao maovu ya kuichokoza ili kuwatia hasira Chadema yakashindwa, lakini salamu alizopata Rais Magufuli katika ibada ya Pasaka St Joseph ajitafakari.
Kitendo cha kususiwa ibada anayohudhuria yeye tena kwa taarifa na kupewa Paroko msaidizi pia ile hali ya yeye kutoa salamu na watu kununa bila kumshangilia kama ilivyo kawaida ajue ndio majibu ya waungwana.
Kuna siku uungwana utalipa!
Siku moja Idd Amin alimwambia msaidizi wake mmoja kuwa sasa nimewadhibiti wapinzani wakorofi wote! Alisema hivyo kwakuwa aliwaua watu alio dhani wanampinga zaidi 250000. Kumbe kila unapo ua unazalisha maadui wengi zaidi. Ilipo fika 1976 baada ya kuona karibu raia wote wanamchukia akajitangaza Rais wa maisha. Wakati hayo yanatokea tayari kulikuwa na Waganda kwa maalfu wanajiandaa kumpindua!Si waungwana ila wamedhibitiwa kikamilifu na vilivyo
Halafu wanasaidiwa kutoka siasa za kiharakati kwenda siasa za kistaarabu
Kafanywaje Slaa??Wangekuwa waungwana wasingemfanyia waliyomfanyia Dkt. Slaa.
Hawana uungwana wowote hao.
Wee jamaa nlikuwa nakuona kama mtu mwelevu sana lkn nimegundua nilifanya kosa kudhan hivyo!.Nini kilipelekea akajiuzulu nafasi yake CHADEMA?
Nyie ndo mnampotosha mtukufu, mpaka anasusiwa ibada!Si waungwana ila wamedhibitiwa kikamilifu na vilivyo
Halafu wanasaidiwa kutoka siasa za kiharakati kwenda siasa za kistaarabu
Wee jamaa nlikuwa nakuona kama mtu mwelevu sana lkn nimegundua nilifanya kosa kudhan hivyo!.
mm ni mmoja wa watu walioamjlini Siku mbowe akikamatwa basi hapatakalika, ila huwezi amini hapa nilipo kumara watu wanakunywa supu tu ya mbuzi na Jana walilewa sana hawajui hata kama mbowe yupo segereaMmejaa dhuluma na hila na ndio maana hamna mnachofanikiwa zaidi ya kuongeza tu deni la Taifa.
So what? Una vinasaba vya ushoga huko uliko!Okay, so...?
sasa kama hawana sapoti ya watu kwa nini serikali inawasumbua?hao jamaa wamedhibitiwa na mbaya zaidi wamekosa support ya wananchi ila kiuhalisia walitamani sana itokee vurugu bahati mbaya watu wamewapotezea, ukitaka kuamini hivyo sikiliza hii video ya mbowe na comments za makamanda humo;
MBOWE: Tumeshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki
Duh bora wamelisusia, hilooooo. Mwenye clip akijichekeshachekesha ai upload!!!Mkuu nasikia siku mbili kabla maaskofu walimwambia kutokana na mvutano wa kanisa na serikali kuhusu waraka si vyema rais apewe muda wa kuongea siku hiyo lkn usalama ukalazimisha, baada ya kuona hivyo maaskofu wakasusa kuongoza misa.
Kamanda Ngabu wewe ulishachafuka humu ,Kila mtu anafahamu sasa hujui ushike wapi, Watu watakula ndogo muda wowoteWangekuwa waungwana wasingemfanyia waliyomfanyia Dkt. Slaa.
Hawana uungwana wowote hao.
Mbona Sioi na Kitilya wapo mahabusu kwa miaka miwili sasa, Mbowe hata wiki hajafikisha chama kizima mnalia lia!Matukio kadhaa yaliyojitokeza siku za karibuni kwa Chadema, ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ilikuwa na nia ya kuwachokoza wafuasi wa Chadema wa berserk kisha ipate cha kufanya au kusema.
Kitendo cha kuzuia hata Landrover kuwapeleka viongozi mahakamani kupewa dhamana ili walale rumande ni dalili mbaya lakini Chadema wakatulia bila fujo na kwenda EU kuwaeleza kinachoendelea.
Malengo yao maovu ya kuichokoza ili kuwatia hasira Chadema yakashindwa, lakini salamu alizopata Rais Magufuli katika ibada ya Pasaka St Joseph ajitafakari.
Kitendo cha kususiwa ibada anayohudhuria yeye tena kwa taarifa na kupewa Paroko msaidizi pia ile hali ya yeye kutoa salamu na watu kununa bila kumshangilia kama ilivyo kawaida ajue ndio majibu ya waungwana.
Kuna siku uungwana utalipa!
Mimi niko machame hapa watu hawana habari kama mbunge yupo korokoroni!mm ni mmoja wa watu walioamjlini Siku mbowe akikamatwa basi hapatakalika, ila huwezi amini hapa nilipo kumara watu wanakunywa supu tu ya mbuzi na Jana walilewa sana hawajui hata kama mbowe yupo segerea
Umekosea ni dakika ya 15,Walimdharau mno Kikwete
Sasa wamepata mbabe mwenzao
Kwahiyo hapo ngoma ni droo
Kipindi mjue ni halftime sasa sijui itakuwaje full time
Hivi wewe shida yako ni vurugu? Ili iweje zikitokea?mpaka kiongozi ahamasishe?? nn maana ya nguvu ya umma?? duh kweli mmeishiwa
Zilipendwa
Swissme
Kuongopa kwako kunakusaidiaje kwa mfano! Upo machame guest hapo manzese?Mimi niko machame hapa watu hawana habari kama mbunge yupo korokoroni!
Nipo Manzese guest hapa machame!Kuongopa kwako kunakusaidiaje kwa mfano! Upo machame guest hapo manzese?