Nimeambiwa nilipie sh.20000 ili nisomewe joining instructions

Nimeambiwa nilipie sh.20000 ili nisomewe joining instructions

Naombeni utaratibu nifanyeje,ninahitaji joining instructions ya Mbalizi Health institute.Ajabu baada ya kuwapigia simu aliyepokea kanijibu nimtumie kwanza sh.20000.Baada ya kumtumia hiyo pesa nimtumie Email yangu ili anitumie hiyo joining instructions.Au kama mtu anayo naomba anisaidie kwani chuo hicho wanafungua j3

Kweli watu na elimu zenu haziwasaidii yaani upige cm hofisini ili usomewe joining instruction, watu kama nyie mnakela sana mtafanya watu wasiwe wanapokea cm mahofisini sababu ya kero kama zako, we nenda utaikuta hukohuko, usirudie tena kukera watu kiasi hicho
 
Teh teh teh teh teh teh teh!!
Nasikitika, kwa mwaka Jana Nursing vyuo vya serikali tulilipa LAKI TISA na kitu hivi ikiwa ni PAMOJA NA CHAKULA, msimu huu wanalipa MILIONI MOJA NA ZAIDI, CHAKULA UNAJITEGEMEA 100%. Ama kweli MTAISOMA NAMBA...... MBELE KWA MBELEEEE.

Kuwa nawatu kama nyie nisawa nakuwa nambu ndani ya nyumba, jitambue hatakidogo
 
msaada nahitaji kuhama chuo nlicho pangiwa

Wewe, hivi hujuwi vyuo vimejaa, hama uende vyuo ya private hukatazwi ni hela yako tu ila kama chuo cha serikali sahau sababu vitu vingine serikali ikiendekeza kila mtu atataka kuhama, siku hizi hakuna kuhama
 
Chama cha mafis noma wana vyuo tuna shda,,hii habar ya kujitegemea msosi hiii sio kabsa anii,,,,,,,,peopless..........
 
Back
Top Bottom