Nimeambiwa nilipie sh.20000 ili nisomewe joining instructions

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
510
Reaction score
213
Naombeni utaratibu nifanyeje,ninahitaji joining instructions ya Mbalizi Health institute.Ajabu baada ya kuwapigia simu aliyepokea kanijibu nimtumie kwanza sh.20000.Baada ya kumtumia hiyo pesa nimtumie Email yangu ili anitumie hiyo joining instructions.Au kama mtu anayo naomba anisaidie kwani chuo hicho wanafungua j3
 
sasa hivi kila kitu pesa tu uwe uliichagua ccm au ukawa wote tunyooshwe na joto hadi akili zitukae sawa. walimu wasiwe na huruma,madaktari,wanasheria kama huna karo chuo hamna kupokelewa mpaka tuje tuwe na akili
 
Naombeni utaratibu nifanyeje,ninahitaji joining instructions ya Mbalizi Health institute.Ajabu baada ya kuwapigia simu aliyepokea kanijibu nimtumie kwanza sh.20000.Baada ya kumtumia hiyo pesa nimtumie Email yangu ili anitumie hiyo joining instructions.Au kama mtu anayo naomba anisaidie kwani chuo hicho wanafungua j3

Mkuu hyo 20,000/= ndio namba yenyewe tuliyoambiwa tutaisoma!!
 
mkuu 20000 tuuu????mpe upate hiyo joining instruction form.pia andaa 15000 kwa ajili ya fee structure.kidumu chama kidumu
 
Naombeni utaratibu nifanyeje,ninahitaji joining instructions ya Mbalizi Health institute.Ajabu baada ya kuwapigia simu aliyepokea kanijibu nimtumie kwanza sh.20000.Baada ya kumtumia hiyo pesa nimtumie Email yangu ili anitumie hiyo joining instructions.Au kama mtu anayo naomba anisaidie kwani chuo hicho wanafungua j3

Nenda chuoni mwenyewe kaifate. Achana na kupigia watu simu. au nenda posta watakuwa washakutumia huko kacheki
 
Teh teh teh teh teh teh teh!!
Nasikitika, kwa mwaka Jana Nursing vyuo vya serikali tulilipa LAKI TISA na kitu hivi ikiwa ni PAMOJA NA CHAKULA, msimu huu wanalipa MILIONI MOJA NA ZAIDI, CHAKULA UNAJITEGEMEA 100%. Ama kweli MTAISOMA NAMBA...... MBELE KWA MBELEEEE.
 
Naombeni utaratibu nifanyeje,ninahitaji joining instructions ya Mbalizi Health institute.Ajabu baada ya kuwapigia simu aliyepokea kanijibu nimtumie kwanza sh.20000.Baada ya kumtumia hiyo pesa nimtumie Email yangu ili anitumie hiyo joining instructions.Au kama mtu anayo naomba anisaidie kwani chuo hicho wanafungua j3

Usisikzee ushauri unaondena na kisiasa,,,, napiaa angaliaaa vizuri kuna matapeliii sana sikuhiziii,, cha muhimu kuwa makini tu,,

hiii ndo jamii forum utakutana na mengi ya kila aina
 
Teh teh teh teh teh teh teh!!
Nasikitika, kwa mwaka Jana Nursing vyuo vya serikali tulilipa LAKI TISA na kitu hivi ikiwa ni PAMOJA NA CHAKULA, msimu huu wanalipa MILIONI MOJA NA ZAIDI, CHAKULA UNAJITEGEMEA 100%. Ama kweli MTAISOMA NAMBA...... MBELE KWA MBELEEEE.

msaada nahitaji kuhama chuo nlicho pangiwa
 
Teh teh teh teh teh teh teh!!
Nasikitika, kwa mwaka Jana Nursing vyuo vya serikali tulilipa LAKI TISA na kitu hivi ikiwa ni PAMOJA NA CHAKULA, msimu huu wanalipa MILIONI MOJA NA ZAIDI, CHAKULA UNAJITEGEMEA 100%. Ama kweli MTAISOMA NAMBA...... MBELE KWA MBELEEEE.

#hapaa kazii tuu...amaaa kweliii tutaisomaaa namba ccm mbele kwa mbele.....yaan mwaka huu vyuo ada imepnda afu chakula kujitgemea.......#Shikamoo makomea utunyoooooosheeeeeeeee
 
Back
Top Bottom