Nimeambiwa ana ngoma

Nimeambiwa ana ngoma

bagabe

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
540
Reaction score
670
wakuu leo nilikua kiwanja fulani hapa kitaa na washikaji tukipata 1 moto 1 baridi...katika zoezi hilo kuna mhudumu mmoja alimfata jamaa yang kipind naangalia mpira ye akipiga vyombo kua ananielewa...nimemaliza kuchek mech nikakuta kidem kinanisubiri...nikaongea nacho tukajuana then nikamwambia sa6 tukutane nifanye mambo kikasema sawa..sasa bado saa 1 na kidogo nikutane nae then kuna broo mwenye hiyo pub aliwahi mueleza jamaa yang manzi anatumia dozi na yeye kaniambia asaiv..Je niendelee na mpango wangu wa kumtafuna au nisitishe kisa jamaa kasema ameungua?
 
Endelea na mpango wako kichwa maji wewe yani ushapewa tahadhari ila unajifanya kuomba ushauri
 
wakuu leo nilikua kiwanja fulani hapa kitaa na washikaji tukipata 1 moto 1 baridi...katika zoezi hilo kuna mhudumu mmoja alimfata jamaa yang kipind naangalia mpira ye akipiga vyombo kua ananielewa...nimemaliza kuchek mech nikakuta kidem kinanisubiri...nikaongea nacho tukajuana then nikamwambia sa6 tukutane nifanye mambo kikasema sawa..sasa bado saa 1 na kidogo nikutane nae then kuna broo mwenye hiyo pub aliwahi mueleza jamaa yang manzi anatumia dozi na yeye kaniambia asaiv..Je niendelee na mpango wangu wa kumtafuna au nisitishe kisa jamaa kasema ameungua?
Endelea huyo mwenye pub anakubania tuu
 
Watu wa kupiga mbichi kama mm huwa hatusikilizi maneno ya watu
 
uza mechi dadeki, kesho ukachukue PeP mambo safi kabisa, pep si zipo bana
 
Back
Top Bottom