Haikuwa ya kwako hiyo kitu baba, kuwa mwangalifu sana na huyo dada
7years ni uchumba tu????!! bi dada kashaona husomeki........[/QUOTE ] Umeona eeh! Then analazimishia mimba kwanza then ndoa....
niko nje ya nchi mura kiwekeo bado ninacho lakini kilikua special kwa ajili yake ndiye alikua chaguo langu sioni kwa nini niangaike na wanawake wengi. Nimelelewa kwenye familia ya baba na mama mmoja na wazazi wangu walikua kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya hamsin. Nilipenda na napenda kuiga kutoka kwa wazazi wangu. Kama waliweza kwa nini mimi nishindwe. I just need a right woman na nilizani mchumba wangu anafaa
Umeona eeh! Then analazimishia mimba kwanza then ndoa....
Asante doctor.nimeupenda msimamo wako, maana dunia ya sasa ni wachache sana wanaojitambua na kushikilia msimamo walionao....!
Unaweza ukashawishika kumuacha mpenzi wako uliyevumiliana nae kwa miaka7 ukampata mwingine mwezi tu akakuvuruga, cha msingi kama yeye ataendelea kusimamia ukweli/uongo wake kuwa alikuwa na mimba ikatoka wewe chukulia hivyo hivyo alivyo kuambia ili mradi bado ana mapenzi na wewe....!
Halafu kaa ukijua wanawake tu wajanja sana tunaweza kutumia technic yoyote kwa mwanaume ili kutimiza hitaji letu.
So inawezekana na yeye alitumia hiyo technic ya mimba ili apate kile alichotaka, na niwanawake wengi wanapenda kutumia huu uongo akisha fanikiwa mwisho wa siku anakuambia mimba imetoka kumbe wala hakuwa na mimba wala nini.
Ndugu tuliza mawazo naana unaeza kua na maswali mengi kuliko majibu,kwakua una karibia kuja ni dhahiri utapata uhakika wa maswal yako yote. Tena si ajabu ukakuta tofauti na uwazavyo. Ondoa wasiwasi kwanza usijepata presure yakujitafutia bure
Ni misimamo tu. Siwashangai sana wanaomua kuweka imani zao kwa wanawake maana wamechagua kuwa hivyo. Lakini mimi nilishaamua kitambo kuwa siwezi kumuamini mwanamke mwingine asiyekuwa mama yangu perid.Ukipata mwanamke unayempenda jaribu kumwamini tu ndugu yangu. Ni kosa kama unajua tabia yake lakini kama hujui sio kosa hata kidogo. Hata hivyo nimekuelewa sana tu na shukurani sana