Dillish wa kwetu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 227
- 117
7 years in relation miss tinna 1 year wachumba wa kuvishana Pete na kutambulishana rasmi kwa ndugu. Sio mbaya sana maana ni vizuri kua pamoja muda mrefu. Ikizingatia kutafuta maisha japo kidogo sio nikimbilie kuoa alafu wifi yako alale njaa7years ni uchumba tu????!! bi dada kashaona husomeki........
ilikua mwaka wangu wa mwisho huu kua mbali nae ilikua niludi kuishi huko au nimchukue nije nae huku. I did love her bro wala sikuwai kuhisi vibaya hata siku mojaKama ni wako ni wako tu,na kama si wako huwezi kubadili hilo..unachotakiwa ni kuwa makini sana na huyo mwanamke.....kuna kitu kimejificha ndani ya maelezo yake.....long distance relationship inahitaji uhaminifu wa hali ya juu..7 years kwa long distance relationship inaweza kuzaa hasi au chanya.TAFAKARI
Habari zenu wakuu
Mwanzoni mwa mwaka huu niliomba ushauri kuhusu mchumba wangu kukataliwa kupewa huduma alipoenda klinik nilipata majibu mazuri sana kutoka kwa watu mbali mbali waliopata nafasi ya kujibu. Sasa kwa kipindi cha miezi kazaa nimekua mtu wa mawazo sana baada ya huyo mchumba wangu kunambia mimba ilitoka ikiwa na week 13 tatizo ni aliniambia tiari ikiwa ni miezi Sita toka aliponiambia anamimba. Kwa kipindi chote nilikua naongea nae kila siku kwa simu au Skype na alikua ananitumia picha kuona mabadiliko ya mwili kama tumbo na nilikua na uhakika wa yeye kua na mimba kwa kipindi chote hicho cha miezi sita. Siku aliponiambia hana mimba na ilitoka ikiwa na miezi mitatu kweli mungu ndiye anajua tu lakini niliuzunika kupita maelezo. Kwa sasa bado kichwani nina maswali ingawa nilishamuuliza zaidi ya mara 1000 kweli alikua na mimba au alikua ananiongopea na kama kweli ilitoka ikiwa miezi mitatu na week moja kwa nini alisubilia kipindi chote hicho bira kunambia? Kwao najulikana na kwetu wanamjua na suala la kuanza familia tulikubaliana wote. Week tatu zijazo nitakua tena likizo nyumbani huko na nashindwa nini cha kufanya kuhusu huyu mchumba wangu. Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu naomba mnishauri nini nifanye japo kwa kuanzia nikikutana nae tena.
Angalizo kwa wote ni story ya kweli iliyonitokea mimi
niko nje ya nchi mura kiwekeo bado ninacho lakini kilikua special kwa ajili yake ndiye alikua chaguo langu sioni kwa nini niangaike na wanawake wengi. Nimelelewa kwenye familia ya baba na mama mmoja na wazazi wangu walikua kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya hamsin. Nilipenda na napenda kuiga kutoka kwa wazazi wangu. Kama waliweza kwa nini mimi nishindwe. I just need a right woman na nilizani mchumba wangu anafaaKwani uko ichi gani Mura?
Hicho kiwekeo cha mimba si bado unacho? Ukija weka kabisa ila kama ungependa kumkuta mjamzito uweke picha yake na no. zake za simu vijana wa sirari wakurengee mura!
niko nje ya nchi mura kiwekeo bado ninacho lakini kilikua special kwa ajili yake ndiye alikua chaguo langu sioni kwa nini niangaike na wanawake wengi. Nimelelewa kwenye familia ya baba na mama mmoja na wazazi wangu walikua kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya hamsin. Nilipenda na napenda kuiga kutoka kwa wazazi wangu. Kama waliweza kwa nini mimi nishindwe. I just need a right woman na nilizani mchumba wangu anafaa
Sio kweli Lara 1 we've been together for over seven years na muda wote huo hakuna hata mara moja nilishamwambia au kumlazimisha kuzaa na mimi. Suala la kuanza familia tuliongea wote mimi na yeye na tulipata baraka kutoka pande zote za family. Kuanza familia. Jaribu kua unasoma vizuri post ndo useme hivyo. Sasa kama tulikubaliana kwa nini anidanganye? Ndo swali langu tafadhari Lara 1 be in my shoes and think what will you do if it happen to you
Habari zenu wakuu
Mwanzoni mwa mwaka huu niliomba ushauri kuhusu mchumba wangu kukataliwa kupewa huduma alipoenda klinik nilipata majibu mazuri sana kutoka kwa watu mbali mbali waliopata nafasi ya kujibu. Sasa kwa kipindi cha miezi kazaa nimekua mtu wa mawazo sana baada ya huyo mchumba wangu kunambia mimba ilitoka ikiwa na week 13 tatizo ni aliniambia tiari ikiwa ni miezi Sita toka aliponiambia anamimba. Kwa kipindi chote nilikua naongea nae kila siku kwa simu au Skype na alikua ananitumia picha kuona mabadiliko ya mwili kama tumbo na nilikua na uhakika wa yeye kua na mimba kwa kipindi chote hicho cha miezi sita. Siku aliponiambia hana mimba na ilitoka ikiwa na miezi mitatu kweli mungu ndiye anajua tu lakini niliuzunika kupita maelezo. Kwa sasa bado kichwani nina maswali ingawa nilishamuuliza zaidi ya mara 1000 kweli alikua na mimba au alikua ananiongopea na kama kweli ilitoka ikiwa miezi mitatu na week moja kwa nini alisubilia kipindi chote hicho bira kunambia? Kwao najulikana na kwetu wanamjua na suala la kuanza familia tulikubaliana wote. Week tatu zijazo nitakua tena likizo nyumbani huko na nashindwa nini cha kufanya kuhusu huyu mchumba wangu. Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu naomba mnishauri nini nifanye japo kwa kuanzia nikikutana nae tena.
Angalizo kwa wote ni story ya kweli iliyonitokea mimi
Baby!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kwani uko ichi gani Mura?
Hicho kiwekeo cha mimba si bado unacho? Ukija weka kabisa ila kama ungependa kumkuta mjamzito uweke picha yake na no. zake za simu vijana wa sirari wakurengee mura!
7years ni uchumba tu????!! bi dada kashaona husomeki........
Aisee, hongera sana kwa kupenda, Ila hapo ndio ulipofanya makosa. Mimi huwa nasema siwezi kumwamini mwanamke yeyote isipokuwa mama yangu tu.Sista nimefanya kila kizuri unachokijua mwanaume inabidi amfanyie mpenzi wake hadi nyumba inajengwa na kila kitu ni Jina lake. Kwa mwezi nilikua namtumia na bado namtumia si chini ya laki sita. Na tuko pamoja miaka 7 na nusu. What more can I do?