Nimeachana na mke wangu


Usimuache mke wako hiyo mimba haikupendi akijifungua atakuwa kawaida.
 
MWANAMKE ASIKUSUMBUE
 
Tafuta kitabu kinaitwa Man's surviving guide to a pregnant woman. Ni Kama Kama jokes Fulani lakini kina muongozo mzuri Sana mara nyingine mjamziyo anakuwa na kisirani, hasira na matata Sana UNATAKIWA uwe mpole au ushuke kwa %0 halafu yeye mpe 100 ni mwendo wa kuomba MSAMAHA na kujitmfanya zuzu TU bila hivyo hutoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…