Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nasikia siku hizi unashabikia Ihefu Fc
 
Aarsenal inadhani kuwa na jezi nzuri ndo kushinda ligi, nguvu kubwa wamekeza katika kuengeneza jezi ila sio kushinda
 
Nenda baba,hizo ndo effects za kuangalia mpira ukubwani,

Ninachojua once you are gunner,you will be always a gunner.
 
Arsenal inawachezaji wengi mizigo, jana Pepe, William na Lacazette wamezingia sana. Forward gani unakosa clear chances mbili tena umebaki na kipa tu.
 
Nenda baba,hizo ndo effects za kuangalia mpira ukubwani,

Ninachojua once you are gunner,you will be always a gunner.

Acha hasira bwashee hakuna namna ni vilio tu.
 
Safi achana nao hao wajinga, hamia Ihefu.
 
Dahh kuna mtu kajinyonga kisa Arsenal imefungwa.Huu ushabiki umepitiliza.
 
Wakuu naomba kujuzwa leo vipi au mwendo ndio ule ule wa kudundwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…