Head teacher JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 1,796 Reaction score 413 Aug 25, 2012 #1 Natafuta ban za JF wakuu, naomba ushauri wenu namna ya kufanya
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Aug 25, 2012 #2 huu sasa utoto uliopitiliza
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Aug 25, 2012 #3 valid statement said: huu sasa utoto uliopitiliza Click to expand... Umeona eeh...
Kirode JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 3,566 Reaction score 84 Aug 25, 2012 #4 Mtukane jk tusi lolote
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Aug 25, 2012 #5 Ban haiombwi mkuu, ila unaweza ukijitakia, halafu unaweza uchapwe permanent ban
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,542 Reaction score 59,323 Aug 25, 2012 #6 kama unataka Ban we toa tusi lolote tu hapa jamvini
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Aug 25, 2012 #7 nimekuban tayari.
Vodka JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 906 Reaction score 96 Aug 26, 2012 #8 Kwani hapo mwanzo ulikuwa unapigwa ban za wapi?
Mtalingolo JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 2,181 Reaction score 410 Aug 26, 2012 #9 Vodka said: Kwani hapo mwanzo ulikuwa unapigwa ban za wapi? Click to expand... kwenye masaburi may be...
Vodka said: Kwani hapo mwanzo ulikuwa unapigwa ban za wapi? Click to expand... kwenye masaburi may be...
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Aug 26, 2012 #10 Mkolawake said: Natafuta ban za JF wakuu, naomba ushauri wenu namna ya kufanya Click to expand... Taja tu hili neno hapa, habari yako kwisha.
Mkolawake said: Natafuta ban za JF wakuu, naomba ushauri wenu namna ya kufanya Click to expand... Taja tu hili neno hapa, habari yako kwisha.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 2,001 Aug 26, 2012 #11 Mtalingolo said: kwenye masaburi may be... Click to expand... Naona na wewe unatafuta ban eeh!!
kookolikoo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 2,800 Reaction score 694 Aug 28, 2012 #12 si uache kuchangia tu!
Me370 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2008 Posts 985 Reaction score 293 Aug 28, 2012 #13 Mtu utatafutaje ban?