The Big Panya
Member
- Aug 30, 2025
- 8
- 12
Nashindwa kuelewa kwanini app hii inaishia ku loading sana bila kufunguka? Au bado imefungiwa?
NdioNashindwa kuelewa kwanini app hii inaishia ku loading sana bila kufunguka? Au bado imefungiwa?
Hiyo mpaka uwe support VPN app ndio inafunguka, mengine utajuana nayo huko hukoNashindwa kuelewa kwanini app hii inaishia ku loading sana bila kufunguka? Au bado imefungiwa?