Nilochojifunza kwa babu kuhusu wanawake, mwanamke hapigwi Ole wako umpigae mkeo,

me cjaona kigeni ktk sifa ulizotoa kuhusu wanawake, ni zile zile za siku zote. Na kuhusu mwanamke kupigwa ni lazima maana hawa viumbe usipo wapiga wanakuona bwege na utasonkorwa pia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Is not right at all.

Tunavyosema "mwanaume ishi na mwanamke kwa akili".

Huwa tunamaanisha hivi.... "Unapomuona mwanamke wako anaangalia kushoto, badala ya kulia. Never usitumie nguvu nyingi sana, kumfanya muangalie wote kulia. Bali wewe stand kwenye pipeline yako tu as mwanaume.....yeye mwenyewe atarudisha shingo kulia...".

Ukitaka kuelewa zaidi, subiri kidogo umri ukimbie....utaelewa tu. Maana ni issue ya chronological age vs intelligence Q (nadhani wanasaikoloji wamenipata zaidi).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaaanisha nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimuona mwanaume yoyote anampiga mwanamke wake. Normally hiko ni kipimo cha kuziilisha kwamba, huyo mwanaume ajawa matured enough kwenye mfumo wake wa intelligence Q. Ambao ndio nguzo pekee ya kumfanya mwanaume yoyote yule, aweze kuitwa MUME BORA/KICHWA BORA CHA FAMILIA, kutokana na jinsi anavyo handle familia yake.

Maana mwanaume hadi uitwe baba bora mwenyewe nyumba, sio tu ile nafasi yako ya kurudi nyumbani na mazagazaga. Bali pia ni ule uwezo wako wa kuihandle familia yako, bila kutumika kwa nguvu ya mabavu. Daily huwa nawaambia watu, jamani mwanamke ni sawa na mtoto tu, hivyo kuna mechanisms zao za kuzitumia kuwaendo na wala sio kutumia mabavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja waje wenye kutumia mabavu.,
Wanaopenda kufanyia mazoez ya mieleka kwa wake zao
Hawatakuelewa kabisa
Ukimuona mwanaume yoyote anampiga mwanamke wake. Normally hiko ni kipimo cha kuziilisha kwamba, huyo mwanaume ajawa matured enough kwenye mfumo wake wa intelligence Q. Ambao ndio nguzo pekee ya kumfanya mwanaume yoyote yule, aweze kuitwa MUME BORA/KICHWA BORA CHA FAMILIA, kutokana na jinsi anavyo handle familia yake.

Maana mwanaume hadi uitwe baba bora mwenyewe nyumba, sio tu ile nafasi yako ya kurudi nyumbani na mazagazaga. Bali pia ni ule uwezo wako wa kuihandle familia yako, bila kutumika kwa nguvu ya mabavu. Daily huwa nawaambia watu, jamani mwanamke ni sawa na mtoto tu, hivyo kuna mechanisms zao za kuzitumia kuwaendo na wala sio kutumia mabavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wawili bado sijawaona hapa..I think hawajauona Uzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Theres a very thin line between pesa na selfishness
kumkabidhi pesa si tatizo,, tatizo ni pale kwenye kutekeleza majukumu,, kama ni selfish then expect nothing sababu atajijali zaidi yy but kama ana mapenzi ya kweli ataitunza family perfectly
 
Mkuu ni kweli kwa Mwanaume aliye kamili hawezi kumpiga Mwanamke kamwe..cuz Ni ishara mojawapo ya UDHAIFU kwa Mwanaume.Ila Mwanamke akileta UPUUZI ni haki kumchapa vibao vitakatifu au kumchumia fimbo nzuri na Kumtandika mpaka heshima iwepo.Tafadhari tambua
kwamba kuna utofauti mkubwa sana kati ya Kumpiga Mwanamke na Kumchapa Mwanamke..Ahsante.😎😎
 
Back
Top Bottom