Nilizama katika mapenzi mazito,,,,,,

Sawa, ila mi nadhani huyu anayenipoza ameona jins gan navoumia na ndo mana ameamua kufanya hivyo. Na pale nyumbani kwa huyu aliyekua wangu hayupo na hana mpango wa kurudi tena ndo mana nikaomba ushauri
 
tulia kaka yangu subira yavuta heri me yalinikuta nikatulia kumbe mpenzi kabadilika cz ya maneno ya watu wa karibu alivyogundua wanamdanganya hadi leo karudi kwangu na kaganda
Sawa lady nashukuru
 
We kaka usipoteze muda wako na mtu ambae hataki kuwa na ww!Hao wanawake wote hawakufai wewe hujui kilichotokea kati yao na isitoshe huyo mpenzi wako hakuwa mkweli kuhusu huyo shoga yake kwahio hapo kuna ulakini...Mimi nakushauri usonge mbele na maisha yako...Utapata mtu mwenye mapenzi ya dhati nawe inshallah...Utaumia lakini U WILL HEAL WITH TIME...
 

thank you, nashukuru sana kwa ushauri wako,,,
 
Kwani sis wanaume tunakosea nini cheriefrance
 
Kaka angu unataka kusema wanaume hamkosei nimekujibu swali ambalo hujaniuliza sababu nimeshuhudia mwanaume akikosea

ok, tunakosea lakn, si wote na makosa yetu kwa asilimia kubwa yanatokana na reaction zenu
 
Ndg yangu kusoma hujui hata picha nayo inakushinda....we chapa lapa faster atakuzingua sana huyo kama vp jitulize kwa mfariji wako.
 
Mpende akupenda na Asiye kupenda chana nae Na Kumbuka Mtaka yote hukosa yote
 
Mapenz ndivyo yalivyo ndugu,ktu cha muhimu ni kukaa na mwenza wako na kutomuogopa na mweleze yale yako yanakusibu,kwa njia moja au nyingine utakuwa unauwezo fulani wa kudai haki yako na kulinda wenu upendo,uckate tamaa mapema ivyo kwa 7bu hata huyo mdada anayekupa ushauri mpaka unamsahau wako mwenza anaweza kuwa ndo chanzo cha yako matatizo,kwa mtazamo wangu wewe ni mwanaume unajua jema lp na baya lipi,ko jembe unabidi kuwa care na maamuzi unayofanya.
 
.......Somo linajirudia,

NINI/NANI chaguo lako katika mapenzi? Au unatumika tu kama 'hankerchief?'

Jiulize, kwanini yule alikupenda nawe ukampenda, kiasi ya huyu kukuchanganya na upendo 'mwingine!'

It is a learning process, you have to go through this phase ili -ugangamale!- Ushauri wangu, endelea na hii swde B ya 'Egoli'.... "Stelingi" hauwawi!
 
^^
Mwanaume akimpenda mwanamke amekosa yote.
Mwanamke akimpenda mwanaume amepata yote.
^^


..oo big Noo...
.. the opposite is true... u wrote this to go hand in hand with thread, but sio kweli...
...MWANAUME ndio akimpenda mwanamke hapo maisha yataenda...not otherwise... mwanaume can tune a woman the way he wants... mwanamke kumfuata au kumtongoza mwanaume HIYO HAIPO.....
...U GET IT...
 
Mkuu Himidini , kesho naomba unifafanulie hizi sentensi zako mbili hata kwa kupitia PM. Am very serious to understand them in deep
^^
Mwanaume akimpenda mwanamke amekosa yote.
Mwanamke akimpenda mwanaume amepata yote.
^^
 

^^
Kuna tarehe utawajua wanawake vizuri,,na utakumbuka huo usemi.
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…