cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,999
- 79,190
yaan wanaume mmmhh
duh!! umeongea mkavu kweli.
ukiwa ni wewe utakubali?
mii nakubali tu ishatokea , mii enzi za udogo ndingi aliwaleta kaka zetu watatu akamwambia maza hawa ni watoto wangu full stop wataishi hapa full stop
tuliishi vizuri hadi ndingi alipotangulia mbele za haki
Kuna jamaa alikuwa na watoto 9, NGO moja ikataka kusaidia wenye watoto 10, akamwomba mkewe aende akalete mtoto aliyemzaa nje kwa siri ili wawe 10 wapate msaada. Aliporudi hakuwakuta wale 9 alipouliza akaambiwa baba zao wamekuja kuwachukuwa ili nao watimize watoto 10. Asante.Mkuu mwambie ukweli kama uliosema hapa kuwa ulienda kujaribisha kama uko fit baada ya yeye mwenyewe kukutia wasiwasi, aaah sipati picha hivyo reaction yake!! ila ndo ukweli wenyewe kwa mujibu wa maelezo yako.
Hahaaa hizi ndoa zina vituko jamani loh!!
Ulifanya vibaya ungekuwa unampenda kiukweli ungemwambia muongelee ukajaribu nje
Hii kitu ni unalo, mie hata ndoa ingekwisha kabisa. Fikiria asingezaa je na mbegu kumbe unamwaga kwa wengine? Mengi ulioandika kwa kujitetea hatskuamini na milele ndio hivyo.
Mruhusu jae akajaribu kuonjwa ujisikie raha. Matatizo ya uzazi uwauma wanawake sana tena sana hata akionyesha yupo poa ogopa donda hiloo bayaaaaaa. Tabia mbaya wewe na haumpendi ile kabisaaaaaaaaa
yaan wanaume mmmhh
Pole sana mkuu ,subiri wataraam wa mambo hayo wanakuja..
Full stop au cyo?