yani iliujue kama uko functional badala ya kwenda hospitali kupima vipimo vya bei ila bila madhara ya baadae ukaona uchukue the other more expensive alternative, expensive cz sasa uko kwnye matatizo..na mkeo ataumia kweli, uaminifu kwish-neh, ila mwambie mgombane yaishe kuliko kwa bahati mbaya asikie kwa wengne au siku ukaaga dunia ndio mama mtu anajitokeza, hataelewa na ataumia mara tatu zaidi
Ukimwambia na yeye atatafta wa nje ili ngoma iwe droo. Hata ka ningekua Mimi usitegemee huyo mtoto mkeo ampende.
Sana tu ka alikua hajiamini siku hizi kuna hospital mngeenda kupima kiroho safi tu. Mjue tatizo huyo Dada alikua kipoozeo chake tu na alidhamiria.assume ni wewe ndio umemsababishia jamaa jamba jamba ya kuwa yawezekana hatuzai.
akichepuka utamchukia?
na baadaye inagungulika mko safi bila hata kufanya vipimo vyovyote.
maana aliniandama zaidi ya nusu mwaka
mkuu sasa tungeenda kupima ili iweje.?
mimi nilikuwa naamini tupo vizuri ila mwenzangu akawa ananitia stress nikaingiwa na wasi wasi mpaka nikadhamiria kujaribu kwingine.
ndio naomba ushauri namna ya kumuingia ili anielewe
mbona hiyo ipo open tu , mwache mtoto akue kidogo afu badae akifika miaka 5 mchukue , mweleze mkeo huyu ni mtoto
wangu full stop sitaki maswali , ujue sisi wanawake tuna roho ya korosho ila wee kuwa mbishi ni mtoto wako there is no
way utamkwepa DNA content zako na huyo dogo. mwambie live tu japo ataumia
Sana tu ka alikua hajiamini siku hizi kuna hospital mngeenda kupima kiroho safi tu. Mjue tatizo huyo Dada alikua kipoozeo chake tu na alidhamiria.
Kwa mkeo huo ni usaliti hata ukimwambia akakubali ujue rohoni hajaamanisha na uaminifu utaisha kabisa. Na huyo mtoto hatakua na amani.
Ukimwambia na yeye atatafta wa nje ili ngoma iwe droo. Hata ka ningekua Mimi usitegemee huyo mtoto mkeo ampende.
Sana tu ka alikua hajiamini siku hizi kuna hospital mngeenda kupima kiroho safi tu. Mjue tatizo huyo Dada alikua kipoozeo chake tu na alidhamiria.
Kwa mkeo huo ni usaliti hata ukimwambia akakubali ujue rohoni hajaamanisha na uaminifu utaisha kabisa. Na huyo mtoto hatakua na amani.
Hahaaaa yani sana tu ile mbaya ndio mkewe anaweza kukubali hata huyo mtoto wakaishi pamoja ila asimpe special care. Mi wanawake nawajua vizuri tu.mhhh...ila siyo wanawake wote wanafanana....!! bila shaka ingekuwa ni wewe kingenuka ile mbayaa...!!!
Hahaaaa yani sana tu ile mbaya ndio mkewe anaweza kukubali hata huyo mtoto wakaishi pamoja ila asimpe special care. Mi wanawake nawajua vizuri tu.