Daaaah kweli wakati wa shida hata utu wako una utupa.kweli mume nae kamruhusu kabsa?
Na mkeo anasemaje?
Mungu akupe hekima ndugu. Binafsi nakushauri uzungumze na mkeo kwanza, akiridhia mpe mtoto aende nae akawape faraja.
Mungu awape amani hao watu mwee huruma
Aisee walimwengu wanavituko wamekuja kwako kukuomba uzae na mkewe....we zaidi ya dume la mbegu
Mkeo ana moyo mzuri sana, Mungu ambariki..daaah ndo maana nimesema Mungu akupe hekima jinsi ya kumsaidia mzazi mwenzio.Duuhh suala la kumpa mtoto tuliyezaa wote haiwezekani kwanza mke wangu hatokubali niliangaika sana na huyu Binti yangu walinisusia akiwa na miezi 11 nimelea hadi alipofikia kwa msahada wa mke wangu mpenzi. Leo hii siwezi kabisa kumwachia. Na kuhusu mke wangu naona wanaelewana vizuri tu kaja na gear ya kumtembelea mtoto hivyo mke wangu anatimiza wajibu kwa mgeni tu
Haya mambo ya uzazi yanafanya uwe na imani ambazo nahisi hadi shetani hua anakataa kwa Mungu kua yy hapo hausikiUsiombe kitu km hiki kikutokee. Niliwahi pia kuchumbia mahali afu yule dem akanitosa kwa sababu enzi hizo yeye pamoja na wazazi wake waliona mi sina hela wala lile. Nilikubaliana na maoni yao ingawa niliumia sana moyoni, coz nilimpenda sana. Yule dada akaolewa na jamaa mwingine sasa kila akishika mimba inatoka. Mpaka ikafika mimba 6, zote chini, wakahisi mi nimemfanyia yule dada uchawi ili asizae, hilo nalo likaniumiza tena. Wao wakapata wazo la kumwona dr wa kinamama, wakashauriwa mimba itakaposhika warudi Hosp ili wapate tiba ya tatizo hilo. Iliposhika wakarudi wakatibiwa tatizo likaisha. Akajifungua vizuri. Baada miaka 2 akanasa mimba tena akajifungua vizuri... Mtoto alipokua siku moja huyo dada akanitafuta akaniomba msamaha, tuliposameheana km vile anatania akaniomba ili yaishe kabisa naomba tuzae na wewe. Nilimkatalia kiaina nilipoona anakazia zaidi ikabidi nimkubalie nikazaa nae mtoto wa kike akaniambia "sasa nimefuta laana yako kwangu". Tukakubaliana tuvunje uhusiano kwa amani.
Mkuu Kwna Poleeni na Marhemu alale pema!! Kweli wakati JKNye'... palikuwepo utumbuaji!!!???Mkeo ana moyo mzuri sana, Mungu ambariki..daaah ndo maana nimesema Mungu akupe hekima jinsi ya kumsaidia mzazi mwenzio.
Unakimbilia wapi mkuu.andika taratibu ntakuelewaMkuu Kwna Poleeni na Marhemu alale pema!! Kweli wakati JKNye'... palikuwepo utumbuaji!!!???
Massa hiyo hairuhusiwi !!
nilikurupuka.....Unakimbilia wapi mkuu.andika taratibu ntakuelewa
Waambie muongozane kwenda kwenye nyumba ya ibada
na mfanyiwe maombi/dua ya pamoja kuondoa chochote kibaya kama kipo..
na uwaambie tu kuwa roho yako nyeupe huna kinyongo...waende