Niliyoyaona Geita mjini

Ocean road hospital imejazwa na wagonjwa asilimia kubwa wanatoka kanda ya ziwa.
Pengine hayo ma mercury ya kuchenjulia dhahabu yana madhara kwa binadamu!!!?
 
Aisee hizo picha znatoa harufu ziondoe
 
Hayo ni mambo ya kawaida kwny mikoa yote nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…