kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Hata wewe unaamini hivyo? Mtu kuwa na degree anatakiwa kufikiria nje ya wigo sio kulalamika kama huyo jamaa, critical thinking haitendei haki akiwa kama mhitimu wa chuo kikuu.
Basi msaidie mawazo si unajua hatufananiHata wewe unaamini hivyo? Mtu kuwa na degree anatakiwa kufikiria nje ya wigo sio kulalamika kama huyo jamaa, critical thinking haitendei haki akiwa kama mhitimu wa chuo kikuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitahama lakini tayari nisharudi nyuma kiasi cha kutupa jiwe nitaanza na maisha ya ajabu Sana Sina hata godoro mkuuKama upo kwenu jitahidi uhame ukajitegemee,.tafuta getho fanya mambo yako,.hao kuna siku watakukopa hata nguvu zako,.lol
Nashuruku mkuu nitalitendea kazi subiri nijichange upya japo inauma SanaTatizo hao ndugu zako ndo wanakurudisha nyuma..
Ukiamua kuachana nao utasonga mbele.
Hata kama wamekusomesha hawana haki ya kukufanyia hivo..
Kaishi kwako huko.achana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo ivyo mkuu lakini sio jambo Jema hii inanifanya nijihisi na balaa huku mtaani
Hata wewe unaamini hivyo? Mtu kuwa na degree anatakiwa kufikiria nje ya wigo sio kulalamika kama huyo jamaa, critical thinking haitendei haki akiwa kama mhitimu wa chuo kikuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanza matatizo huwa ayakimbiwi, kikubwa wewe hapo ni kuama nyumbani nenda kapange
Sent using Jamii Forums mobile app