Niliyoyakuta na ninayoyaona uraiani bora nirudi tu chuoni nilikotoka

Tatizo la vijana wengi wa kitanzania ni kuwa wanapokuwa chuo wanaona maisha wameyapatia sana na badala yake huwaona walioko mtaana hawana ajira ama kabiashara chochote cha kujikimu maisha kuwa ni wavivu kwakuwa hataki kijishughulisha . Ndugu yangu kwakuwa na wewe ni mhitimu wa chuo na uko jikoni(uswahili) jaribu kutafuta mbinu mbadala kwa bidii sana ili uweze angalau ujikimu kimaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashuruku mkuu japo ungenipa ABC japo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee pole kwa changamoto ndio ukubwa huo endelea kupambana lakini nina wasiwasi na wazazi wako unaoishi nao, ni wazaz wako waliokuzaa kweli mana kwa mzaz aliyekuzaa hawezi kukufanyia ivyo ninahisi unakaa na walezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni Dada yangu ndo alinisomesha Toka form 1 to form 6.. Chuo nilipata mkopo mkuu ndo nikampa ngurue anifugie dah Kawatafuna wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado naendelea kuamini kuwa biashara bila usimamizi wako mwenyewe ni sawa na kucheza biko!
Yaani pata potea!!!
Hao ndugu zako nao ni wasenge sana, acha kuwaendekeza waoneshe uanaume wako hata kwa kuwakata vibao vilivyotukuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu tulia dawa ikuingie mwezi 6 tu unalialia watu tumesota miaka nenda rudi, ila usikate tamaa kikubwa pambana wala usitamani kurudi chuo utafanikiwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mwezi wa 6 sasa Toka nimalize chuo mwaka wa 3 mnamo mwaka Jana mwezi wa 8.

Pigo la kwanza nilinunua ngurue ili nifugiwe nyumbani kwa lengo kwamba nikirudi nije kuwauza nije fanya biashara.

Nimerudi nimekuta ngurue wote wa3 wameuzwa na niliahidiwa Kua nitalipwa pesa.. Nimekopwa Toka mwaka Jana nimerudi kutoka chuo sijapewa.

Nikiuliza naambiwa ooh sisi ndo tumekusomesha tulia dogo. Sio hilo tu nilijibana nikiwa chuoni nikaja kuuanzisha biashara ndogo tu.. Lakini licha ya biashara Kua ngumu mtu anachukua bidhaa bila kulipa ukiuliza eti sisi ndo tumekusomesha tulia.

Kila nikitia jitihada kadhaa kujishugulisha nahisi naumia tu for nothing. Wakuu naomba kuuliza hata nyie mliosomeshwa mnakumbana na changamoto kama hizi? Je mnazikabili vipi? Aisee bora tu nirudi chuoni sio kwa maumivu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata loan board wanakata chao kila mwezi.

Ukute hao wakubwa zako wanatumia utaratibu wa loan board
 
Back
Top Bottom