Niliyoyafanya katika msiba wa Bibi

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]weee jamaa tangu Jana nimeanza kuziona thread zako ni full kuchekesha,nliipenda ile uliyokua mkuu wa kitengo cha vinywaji
 
Maisha yanaenda kwa kasi sana! tumefika stage kua mtu umefiwa na Mama yako mzazi ila kitu cha kwanza unawaza kutafuta mtu wakukurekodi!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ watu kama wewe ni muhimu humu jf walau mnafanya stress za wengine zipoe
Sure mkuu, huyu jamaa mi nikisoma nyuzi zake lazima niangue kichekoπŸ˜…
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtanesco hakika unasaidia kupunguza stress za kuliwaza janga la korona.
 
Kijana unavuta mabangi ya wapi?? Acha mabangi ndugu yangu. Hahahahah

 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ watu kama wewe ni muhimu humu jf walau mnafanya stress za wengine zipoe
yna2 vp bana kuna njia nyingi za kutuliza stress ikiwepo Ile ya kugusanisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…