Na hiyo ndo njia pekee ya kumaliza hayo maandamano mara moja, viongozi wa makundi yote watakutana fasta na kuzungumzia lugha Moja ya AMANI na hapo utulivu utapatikana watu hawatoamini........haya madhila yote mnayoayaoni anayofanyiwa Samia ni UDINI tu hakuna jingine, hilo naweza hata kuapa. Ni udini tu.