Kama unamkubali chukua mzigo ila kabla ya yote(namaaanisha sex) hakikisha unaenda kumpima kila aina ya ugonjwa huyo binti na mimba pia.Akiwa fresh fanya yako..Bado unahitajika na familia yako na Taifa pia.Itakuwa ni waste ukifia mbele...no offenceHabari wadau wa JF,
Nikiwa sekondari (kidato cha 3) miaka 15 iliyopita nilimtongoza msichana aliyekua darasa moja nyuma yangu, hadi namaliza shule alikua amekubari lakin hakuwahi kuruhusu tupige show hata kushika maziwa tu alikua anagoma.
Advance shule zikawa maeneo jirani, lakini aligoma kuonana na mimi japo hta kwa salamu tu. Nilipofika chuo nikatafuta mwingine wakati yeye akiwa bado advance, huyu wapili hakuwa na shida za kuzingua tukawa tunapiga show za maana. Hadi yeye anamaliza chuo mwaka mmoja nyuma yangu tena bado sjawahi hata kuona brazia yake, lakin ndipo akajua kuwa nlishaanza uhusiano na mwingine, sjui kwa hasira au bahati mbaya hatukuwahi wasiliana tena hadi miaka kma mitatu iliyopita tukaanza kuwasiliana na nikajua tayari ameshapata mtoto.
Sasa amekuja kuniganda mwaka huu anataka tuendeleze mahusiano, na ipo siku alijirahisisha hadi nashow tukapiga. Akaeleza baba wa mtoto hayuko nae tena kaenda kuanzisha familia nyingine, mimi hadi saiz sjaoa bado, na nilishawaza kutafuta wa kuoa mwingine..... Je niendelee na plan ya kutafuta wa kuoa au nimchukue tu huyu, japo wazo la kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari sikuwahi kuwa nalo.Ushauri wenu pls
Haha sasa na hao wanakuwa ni wazee wenzieHivi mm niliosoma nao O-level sasa hivi si wote wazee kbs...[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee " kumbe mpaka kumkula umeshamkula !!!!
Hapo utajijua mwenyewe aise
Ila ningekuwa mimi ningemla then kitu ambacho kingefuata ni block na mikausho ya sanamu la posta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yangekuwa mauaji ya kimbari kamanda. Sema kuna mademu wanaudhi kweli, ukimtaka serious anakukazia akienda kula za uso au akishapigwa goli anakuja kwako mbio mbio kama vile wewe ndio kiporo chake. Wajinga sana hawa wa hivi!Aisee " kumbe mpaka kumkula umeshamkula !!!!
Hapo utajijua mwenyewe aise
Ila ningekuwa mimi ningemla then kitu ambacho kingefuata ni block na mikausho ya sanamu la posta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yangekuwa mauaji ya kimbari kamanda. Sema kuna mademu wanaudhi kweli, ukimtaka serious anakukazia akienda kula za uso au akishapigwa goli anakuja kwako mbio mbio kama vile wewe ndio kiporo chake. Wajinga sana hawa wa hivi!
Yaani ningekuwa katika hali kama hii ya mtoa mada hicho ndio ambacho ningekifanya ". .. maybe kama angekuwa nimzuri " so ninge mfanya kuwa side chick tu " .. nothing at allHayo yangekuwa mauaji ya kimbari kamanda. Sema kuna mademu wanaudhi kweli, ukimtaka serious anakukazia akienda kula za uso au akishapigwa goli anakuja kwako mbio mbio kama vile wewe ndio kiporo chake. Wajinga sana hawa wa hivi!
Aisee ".Mimi angekuwa darasa la 4Ningeamua kupata mtt wakat namaliza form 4 sasa hivi angekuwa ametimiza umri wa kupiga kura
Wewe umeshamtafuna halafu unakuja kuomba ushauri!Habari wadau wa JF,
Nikiwa sekondari (kidato cha 3) miaka 15 iliyopita nilimtongoza msichana aliyekua darasa moja nyuma yangu, hadi namaliza shule alikua amekubari lakin hakuwahi kuruhusu tupige show hata kushika maziwa tu alikua anagoma.
Advance shule zikawa maeneo jirani, lakini aligoma kuonana na mimi japo hta kwa salamu tu. Nilipofika chuo nikatafuta mwingine wakati yeye akiwa bado advance, huyu wapili hakuwa na shida za kuzingua tukawa tunapiga show za maana. Hadi yeye anamaliza chuo mwaka mmoja nyuma yangu tena bado sjawahi hata kuona brazia yake, lakin ndipo akajua kuwa nlishaanza uhusiano na mwingine, sjui kwa hasira au bahati mbaya hatukuwahi wasiliana tena hadi miaka kma mitatu iliyopita tukaanza kuwasiliana na nikajua tayari ameshapata mtoto.
Sasa amekuja kuniganda mwaka huu anataka tuendeleze mahusiano, na ipo siku alijirahisisha hadi nashow tukapiga. Akaeleza baba wa mtoto hayuko nae tena kaenda kuanzisha familia nyingine, mimi hadi saiz sjaoa bado, na nilishawaza kutafuta wa kuoa mwingine..... Je niendelee na plan ya kutafuta wa kuoa au nimchukue tu huyu, japo wazo la kuoa mwanamke mwenye mtoto tayari sikuwahi kuwa nalo.Ushauri wenu pls
Haha yaani amuoe mwanamke ambaye alimmwaga awali ..Aise hiyo kwangu ni big no " .... huyo binti amedondokea kwa jamaa baada ya kupoteza na kuona kwamba ame cross out of the line na malengo yake aliyowahi kuwa nayo katika maisha yake " .... so ameamua kwenda kwa jamaa kama sehemu ya kujifariji na kupooza fukuto la majuto Ya maisha yakeOa kama bado unampenda. But kama huna future nae mteme atakusumbua tu!