mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 831
- 1,595
Niliwasubili mmalize kusherekea may mos yenu
Na
mdude nyagali
Wafanyakazi mpo?
Mwaka 2005 wakati rais mkapa anahitimisha UONGOZI wake kima cha chini cha mshahara kilikuwa Tsh 65,000/-
pamoja na mshahara wa kima cha chini kuwa 65,000/- mwaka 2005 lakini bei ya sukari kilo ya sukari ilikuwa ni 600,kilo ya mchele 300,kilo ya unga ilikuwa 200,chumvi tsh 50.
mwaka 2016 chini ya utawala wa magufuli mshahara kima cha chini kwa mfanyakazi ni Tsh.265,000/- lakini sukari ni 2800,kilo ya mchele ni 2500,kilo ya unga kilo ni 1300.
kwa maana hiyo mwaka 2005 mshahara wa tsh 65,000/- ulikuwa una uwezo wa kununua sukari kilo 108 za sukari wakati mwaka 2016 chini ya magufuli mshahara wa kima cha chini 265,000/- una uwezo wa kunua kilo 94 za sukari.
Mshahara wa 65,000/- wa mwaka 2005 ulikuwa na uwezo wa kununua kilo 216 za mchele wakati mshahara wa 2016 chini ya magufuli wa 265,000/- una uwezo wa kununua kilo 106 za mchele hivyo ukiona kuna mtumishi yoyote wa kima cha chini wakiwemo walimu anashangilia rais kupunguza asilimia 2 za kodi kwenye mshahara wake ujue mtumishi huyo ni miongoni mwa watumishi wanaotumia vyeti vya marehem waliokufa kwenye ajali ya treni dodoma,ajari ya mv bukoba,na ajari zingine za mabasi.
Kwa mtu ambaye ni msomi na anajua,calculated na hakuiba vyeti hawezi kushangilia punguzo la asilimia 2 za magufuli
by