Niliwapigia CCM kura, sasa mbona wale jamaa hawaisomi namba?

ravalamanana

Member
Jan 2, 2016
10
5
Ndg waTanzania CCM iliniaminisha kwamba nikiwapigia kura(yaani kuipigia CCM kura);basi!!LOWASSA na UKAWA wengesoma namba mapema sana!!!!!cha ajabu bado kimya tu,&wanaosoma namba ni wananchi waadilifu kwa CCM mfano bomoabomoa itakayoendelea January5,2016 jijiniDar.Au mie ndo sijuhi hiii namba inasomwaje???na ninamba ngapi wakuuu????
 
Last edited:
Usomaji wa namba ni mchakato. Tulia wala usikurupuke, wakati wa wewe kuisoma namba ukifika hutakuwa hata na ule muda wa kujibu hoja za JF. Utakuwa upo kimyaaaa, tena umefura kwa hasira, ukitafakari kwa undani juu ya yale yatakayokuwa yamekupata.
 
watu wa dar hawakuipigia kura ccm hasa wale wa mkwajun kinondon...wacha waisome namba...

halaf serikal kuwaacha wakaishi maeneo hayo ni kuwatelekeza kuona wananchi wake wakifa kwa mafuriko...
 
Ndg waTanzania CCM iliniaminisha kwamba nikiwapigia kura LOWASSA na UKAWA wengesoma namba mapema sana!!!!!cha ajabu bado kimya tu,&wanaosoma namba ni wananchi waadilifu kwa CCM mfano bomoabomoa itakayoendelea January5,2016 jijiniDar.Au mie ndo sijuhi hiii namba inasomwaje???na ninamba ngapi wakuuu????

Teh teh..vuta subira wanaweza kuisoma iyo number
 
Usomaji wa namba ni mchakato. Tulia wala usikurupuke, wakati wa wewe kuisoma namba ukifika hutakuwa hata na ule muda wa kujibu hoja za JF. Utakuwa upo kimyaaaa, tena umefura kwa hasira, ukitafakari kwa undani juu ya yale yatakayokuwa yamekupata.
wow mkuuu,kumbe ni mchakato...sawa,vp taarifa zandani znasemaje kuhusu wale mabwenyenye wa UKAWA,wao mchakato wao wakuisoma namba itaweza kuanza lini haswa maana mie niliekuwa kimbelembele nakutihii yote niliyoambiwa na CCM nimeshosoma namba tiyari...."nilitamani sana hao mafisadi wakina LOWASSA ,SUMAYE MBOWE&UKIWA yao ndo wawe wakwanza kuisoma namba badala ya sisi wakereketwa na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi"
 
Rais wako ana miezi miwili tu tangu aingie madarakani, kakuta mfumo mzima wa TAKUKURU haupo vizuri, naamini kama shida yako ni kuona viongozi wako wanashughulikiwa, basi vuta subira. Kiongozi wa sasa wa taasisi ya kupambana na mafisadi, anaendelea na reforms, tena nzito sana ili aweze kufanya kazi ya maana. Chunga sana unaweza kuwa unaongea uchuro bila hata ya kujijua.
 
mkuuu naongea ninachokifahamu and nilichoambiwa kipindi cha uchaguzi....unachosema mie sikuambiwa huku Mahenge Morogoro..labda km wewe uliambiwa kazi yakwanza ingekuwa nikushughulikia mfumo basi sawa...mimi niliambiwa wezi wapo nawanafahamika kilichokuwa komebaki ni tupate madaraka then waswekwe ndani...kipi kinachunguzwa tena kutoka kwao????sorry km wewe pia nijipu la KASKAZINI maana POVU limekutoka kweliiii!!!!!!haaaa
 
Ha ha ha....madaraka yamepatikana mwezi wa kumi na moja, viongozi wapya wameanza kazi kwa kushughulika na suala la bandari ili kodi ipatikane kwa ajili ya kusomesha watoto, hayo majizi ambayo unajaribu kujenga hoja ya kuyatetea, yatashughulikiwa tu, na yakianza kushughulikiwa uwe na ujasiri kama huu wa kuyatetea hadharani. Unapoimbwa wimbo wa Taifa kila mmoja huwajibika kusimama na kuuheshimu, lakini ukimalizika tunaendelea na tabia zetu za ajabu ajabu
 
Ndg waTanzania CCM iliniaminisha kwamba nikiwapigia kura(yaani kuipigia CCM kura);basi!!LOWASSA na UKAWA wengesoma namba mapema sana!!!!!cha ajabu bado kimya tu,&wanaosoma namba ni wananchi waadilifu kwa CCM mfano bomoabomoa itakayoendelea January5,2016 jijiniDar.Au mie ndo sijuhi hiii namba inasomwaje???na ninamba ngapi wakuuu????
Tangu lini kijana wa redi brigedi ukapigia kura ccm?
 
Ndg waTanzania CCM iliniaminisha kwamba nikiwapigia kura(yaani kuipigia CCM kura);basi!!LOWASSA na UKAWA wengesoma namba mapema sana!!!!!cha ajabu bado kimya tu,&wanaosoma namba ni wananchi waadilifu kwa CCM mfano bomoabomoa itakayoendelea January5,2016 jijiniDar.Au mie ndo sijuhi hiii namba inasomwaje???na ninamba ngapi wakuuu????
Namba mnaisoma wenyewe, ssm mlizoea kukwepesha kodo watu wenyu chama kikawa chama dora... Sasa jamaa anatumbua tu haangalii... Upinzani haya anayoyafanya ndio ulikuwa wimbo wao miaka nenda rudi so jamaa wanashangilia tu
 
Back
Top Bottom