Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni

Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni

Joined
Oct 9, 2017
Posts
21
Reaction score
7
Nilipokea email ya mdada aliyejitambulisha kwa jina la CARISA SMITH, akisema amependa mwonekano wangu kupitia facebook profile yangu hivyo amenipenda tuwe marafiki, nikamwambia hakuna matata. Akajieleza kuwa yeye ni daktari yupo Calfonia USA, hajaolewa, lakini ana watoto wawili, na mimi pia nikamwambia ni singo boy.

Baada ya kuchat kama wiki hivi akaniambia amepata dharula anaenda HAITI kikazi lakini ameninunulia zawadi mbalimbali kama TOSHIBA LATOP 2, PRINTER 2, VIDEO CAMERA2, SIMU APPLE 2, amemkabidhi PROF. Raymond Harrison ambaye amekwenda GAMBIA kikazi lakini akanipa email yake na namba za simu ili niwasiliane.

Baada ya mawasilianno nikaambiwa nitume dolla 160 ili alipie DHL na mzigo usafirishwe, nikamwambia sina ela labda auze laptop moja ili ipatikane pesa ya kusafirishia, akaniambia airuhusiwi kuuza coz ni zawadi na ameonywa asithubutu kuuza, nikamwambia mi nimepinda kanijibu kuwa yeye ataniongezea dolla60 ivyo nitume dolla 100, apo ndio nikavuta handbrek na kufunga vioo mpaka juu,nikaacha kuwasiliana nae, aisee awa jamaa ni atari sana kama wakimpata mbulula lazima uingie kingi
 
nilipokea email ya mdada aliyejitambulisha kwa jina la CARISA SMITH,akisema amependa mwonekano wangu kupitia facebook profile yangu ivyo amenipenda tuwe marafiki, nikamwambia akuna matata,akajieleza kuwa yeye ni daktari yupo calfonia USA,ajaolewa,lakin ana watoto wawili, na mimi pia nikamwambia ni singo boy, baada ya kuchat kama wiki iv akaniambia amepata dharula anaenda HAITI kikazi lakin ameninunulia zawadi mbalimbali kama TOSHIBA LATOP 2,PRINTER 2,VIDEO CAMERA2, SIMU APPLE 2, amemkabidhi PROF.raymond harrison ambaye amekwenda GAMBIA kikazi lakin akanipa email yake na namba za simu ili niwasiliane,baada ya mawasilianno nikaambiwa nitume dolla 160 ili alipie DHL na mzigo usafirishwe, nikamwambia sina ela labda auze laptop moja ili ipatikane pesa ya kusafirishia,akaniambia airuhusiwi kuuza coz ni zawadi na ameonywa asithubutu kuuza, nikamwambia mi nimepinda kanijibu kuwa yeye ataniongezea dolla60 ivyo nitume dolla 100, apo ndio nikavuta handbrek na kufunga vioo mpaka juu,nikaacha kuwasiliana nae, aisee awa jamaa ni atari sana kama wakimpata mbulula lazima uingie kingi
Aisee uliponea chupuchupu, pole mkuu
 

Nimekutana nao wengi sana watu dzain hiyo na wengi wao ni kutoka nchi za Africa Magharibi huko.
 
Wanageria hao ndio wanatabia hiyo ya kusearch profile za watu mtandaoni akiona tu email yako tu wanaichukua na kuanza kutapeli watu afu kingine hilo jina na CARRISA sio ngeni ndo wanapenda sana kulitumia we research kugoogle tu utaona mara limetumika kama msichana ambaye anaishi camp ya mkimbizi Haiti, Mara mtoto wa tajiri n.k


Tuwe macho ndugu zangu ukisikia dili za hela ndefu hafu mtu humjui jiulize marambilimbili
 
Wanageria hao ndio wanatabia hiyo ya kusearch profile za watu mtandaoni akiona tu email yako tu wanaichukua na kuanza kutapeli watu afu kingine hilo jina na CARRISA sio ngeni ndo wanapenda sana kulitumia we research kugoogle tu utaona mara limetumika kama msichana ambaye anaishi camp ya mkimbizi Haiti, Mara mtoto wa tajiri n.k


Tuwe macho ndugu zangu ukisikia dili za hela ndefu hafu mtu humjui jiulize marambilimbili
upo sahihi mkuu, awa itakuwa ni wa afrika magharibi kule, shenz zao!
 
kama wale wanaotangaza simu kupatana, eti iphone 5s dola 75...nlicheka mpka bas af wanakwmbia et uwatumie pesa kupitia western money, yan apo ndo nikawaona kabisa kua awa amna kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom