Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Kufeli kwa figokibofu, cancer ni baadhi tu ya magonjwa yanayoweza kusababishwa na chemical hizi nafikiri.Nini Madhara ya hizo sumu mwilini?
Mwisho wa siku maradhi yote hayo hupelekea kifo.Kufeli kwa figokibofu, cancer ni baadhi tu ya magonjwa yanayoweza kusababishwa na chemical hizi nafikiri.
Mtaalamu wa afya ya binadamu anaweza kutusaidia zaidi kuliko mimi.
Asante sana karibu.
Siyo kwamba tunaogopa kufa la hasha ila kwa kawaida maradhi yana economic consequences nyingi, badala ya kusomesha watoto utakuwa busy kujitibu, badala ya kujenga unajitibu mwisho wa siku unakaribisha u maskini kwenye jamii wakati hakuna gharama kubwa kula organicMwisho wa siku maradhi yote hayo hupelekea kifo.
Tusiogope kufa hatutaishi milele mkuu.
ikawejeNitoe short story tu katika muendelezo wa kuelimisha jamii juu ya kilimo hai(organic farming).
Mimi Kwangu nimepanda mboga mboga katika mifuko hivyo mara nyingi huwa sinunui mboga sokoni, sasa juzi ilitokea nimefululiza kuchuma ikabidi ninunue tu mboga kwa siku hiyo.
Mbogamboga ambazo huwa napenda kununua ni majani ya maboga, mchicha laini,au tembele kutokana na kuwa hazina magonjwa mengi hivyo hata kunyunyiziwa dawa ni rare sana.
Mahali naponunuaga nikakuta mboga zote hakuna zipo tu chainizi so ikabidi tu nijikaze nikazinunua kwa sababu sikuwa na option.
Kiukweli mboga zile zilikuwa zinanuka dawa mpaka zimefika mezani, yani ni kama vile zilinyunyuziwa dawa two to three days ago then zikavunwa na kuletwa sokoni.
Nilikula mboga ile ka vijiko viwili nikaamua kuiacha na ikabidi tu imwagwe mana harufu ya sumu Ilikuwa kali kupitiliza.
#Ni mara nyingi sana wakulima wamekuwa wakinyunyiza dawa katika mboga matunda na mazao mengine bila kuzingatia hatua ya mazao hayo(i. e nyanya zimeiva kabisa anaona ugonjwa ananyunyiza dawa badala ya kuvuna).
#Kuna haja ya serikali na wadau wa sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kutoa elimu juu ya matumizi ya hizi chemical.
#Lakini kubwa zaidi kuna haja ya sisi kurudi kwenye kilimo HAI, Kuzalisha bila matumizi ya chemical na mbolea za viwandani kwa maslahi( ya afya zetu, udongo na mazingira) ambazo kwa kiwango kikubwa zinachangia kuibuka kwa magonjwa mengi kwa binadamu na wanyama.
#ORGANICAGRICULTUREAMBASSADOR
AgroGanic Tz
P. O. Box 2021,
Dodoma Tz
E. Mail: Pnairah@gmail.com
Soma hadi mwishoikaweje
Unajua lini utakufa?Siyo kwamba tunaogopa kufa la hasha ila kwa kawaida maradhi yana economic consequences nyingi, badala ya kusomesha watoto utakuwa busy kujitibu, badala ya kujenga unajitibu mwisho wa siku unakaribisha u maskini kwenye jamii wakati hakuna gharama kubwa kula organic
Tujadili organic farming achana na habari za kufaUnajua lini utakufa?
Tujadili organic farming achana na habari za kufa
Binafsi zijakuelewa, tafadhali hariri ujumbe wakoKuna mboga lazima zipigwe sumu na huwa sizinunue sokoni na hata hivyo ni nadra kununua mboga maana nalima na zingine zinajiotea tu shambani .
Mbona zinazopulizia sana sumu .
1.chinizi ngumu na ile chainizi laini
2.mnafu
3 .kabechi
Hahaha kumbe mnasoma?Binafsi zijakuelewa, tafadhali hariri ujumbe wako
Hata mm binafsi nakubali organic farming but hiyo ya dawa kusikika hadi mezani!!!!!!Mh hapana siamini maana ktk ukulima wangu wote sijawahi kuliona wala kuisikia kabisa.Ungeeleza tu Nia yako kuhusu organic farming Na sio kuanza mbali hivo
Btw ni kwel kuna watu hufanya hivo lakini kiwango hadi unasikia Dawa bada ya kupika ndo nasikia Leo mkuu
Ndo usikie leoHata mm binafsi nakubali organic farming but hiyo ya dawa kusikika hadi mezani!!!!!!Mh hapana siamini maana ktk ukulima wangu wote sijawahi kuliona wala kuisikia kabisa.
Exactly hilo liko waziHahaha kumbe mnasoma?
Ni hivi ,kuna aina ya mboga piga ua lazima zishambuliwe na wadudu katika ukuaje wake.
Ndio nikazitaja
Chinisi laini na ile ngumu,figiri ,kabeji
Si lazima niwe na njia moja ya kufikisha ujumbe, ujumbe huwafikia watu kwa njia mbalimbaliUngeeleza tu Nia yako kuhusu organic farming Na sio kuanza mbali hivo
Btw ni kwel kuna watu hufanya hivo lakini kiwango hadi unasikia Dawa bada ya kupika ndo nasikia Leo mkuu
Dot to dotHahaha kumbe mnasoma?
Ni hivi ,kuna aina ya mboga piga ua lazima zishambuliwe na wadudu katika ukuaje wake.
Ndio nikazitaja
Chinisi laini na ile ngumu,figiri ,kabeji
Haha yeh men ,ukienda sokoni usinunue au mboga Lima mwenyewe ,kama dar hata nikiingia kwa hotel siagizi kuwekewa mboga ya majani kwasababu dar wanamwagilia maji ya makaro maji machafu au wanatumia dawa sana.Dot to dot