Binti Msichana
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 109
- 249
Hahahah! We binti msichana bhana. Btw hiyo hashtag yako mwanzilishi wake kaikana kwa kusema anatishiwa maisha.Sijawahi kumpenda na kumkubali kiongozi wa ngazi za juu kama rais John P.Magufuli.
Nilichomkubali rais huyu ni uwezo wake wa hali ya juu katika uongozi uliojikita katika kutatua kero za Watanzania masikini.
Rais John Pombe Magufuli ni tunu mpya ya Taifa.
Tanzania yenye ustawi kwa wananchi hatimaye imepatikana
katika uongozi wa JPM.
Hakika Watanzania wamepata mtetezi wa maisha yao.
Mapambano dhidi ya rushwa na usimamizi wa rasilimali za Taifa
ni baadhi ya sifa za JPM.
Watanzania tumuombee rais wetu kwa Mungu azidi kututumikia.
[HASHTAG]#BakiMagufuli[/HASHTAG].
Siku ukimchukia ulete mrejesho
Sijawahi kumpenda na kumkubali kiongozi wa ngazi za juu kama rais John P.Magufuli.
Nilichomkubali rais huyu ni uwezo wake wa hali ya juu katika uongozi uliojikita katika kutatua kero za Watanzania masikini.
Rais John Pombe Magufuli ni tunu mpya ya Taifa.
Tanzania yenye ustawi kwa wananchi hatimaye imepatikana
katika uongozi wa JPM.
Hakika Watanzania wamepata mtetezi wa maisha yao.
Mapambano dhidi ya rushwa na usimamizi wa rasilimali za Taifa
ni baadhi ya sifa za JPM.
Watanzania tumuombee rais wetu kwa Mungu azidi kututumikia.
[HASHTAG]#BakiMagufuli[/HASHTAG].
Utafiti wako umeufanyia wapi? mjini,shamba,vyuoni,kwa wakulima au kwa wafanyakazi?Magufuli na CCM wanatumia nguvu kubwa sana kutaka kuaminisha watu kwamba anakubalika
Lakini siku zote ukweli haujifichi ,95% ya Watanzania wakiwemo wanachama wa CCM hatumpendi Magufuli.
Taarifa and not taharifa.Taharifa zimefika inawezekana mwanachama hapa. Unajua jf ilianzia mbali
Ni sawa na baba mlevi. Huwezi kumuambia unapokutana naye zaid ya kumpongeza ila nyuma ya pazia. Ukweli wote hujulikanaUtafiti wako umeufanyia wapi? mjini,shamba,vyuoni,kwa wakulima au kwa wafanyakazi?
Sio kweli kabisaMagufuli na CCM wanatumia nguvu kubwa sana kutaka kuaminisha watu kwamba anakubalika
Lakini siku zote ukweli haujifichi ,95% ya Watanzania wakiwemo wanachama wa CCM hatumpendi Magufuli.
Multiple ID kaziniSijawahi kumpenda na kumkubali kiongozi wa ngazi za juu kama rais John P.Magufuli.