Nilivyoendesha gari na chupi tu


Hakuna, mjinga wa Aina hii ni mmoja tu duniani ambaye ni wewe
 
Hapo Kahama, kuna mwaka fulani walikujaga wale Makhirikhiri wa Botswana, wakapiga miguu yao na ngozi zao za kondoo, walipoenda kulala wakalala kama wamekufa, aisee... Vibaka waliwasafisha mbaya kabisa kupitia madirilisha mwa ile guest house, nilicheka sana maana nilikua nimelala guest house jirani na pale
 
Hiyo supermarket ilipo kilikuwa kiwanja cha familia ya mwanangu mmoja wa Kuitwa Kelvin (muhindi).Macho kwenye hela sana huyu Kanjibhai .
 
Wizi wa aina hii pale Kahama umeshamili sana
 
Nimevuta taswira mwanaume mtu mzima amevaa chupi😂😂😂😂
 
Haswaa si unaona jinsi hata humu kuna vinabo wanamwaga nyesi tu.
Naona mkuu ,wanajitoa ufahamu ila chupi walivalishwa ,utandawazi unawafany kuona neno chupi Kam uwaki flan kumbe wanazngua😅
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kichakani ulikua unafanya nini mkuu
 
 

Attachments

  • 20221016_125644.jpg
    30.3 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…