Nilivyo uanza mwaka 2013

Nilivyo uanza mwaka 2013

Nkachapwe

Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Juzi tulipata wageni kutoka China walikuja kutembea nchini kwetu na kusherehekea mwaka mpya. Katuka watu waliokuwemo kwenye msafara wa kuwaongoza namimi nilikuwemo kwakuwa najua kichina kidogo. Leo tukiwa maeneo ya sunrise nilipata kituko kimoja cha kufungua mwaka.Wakati tuko njiani kuelekea sehemu husika tulinunua vitu vingi ilikuwaridhisha wageni wetu kwakeli tulikula na kunywa kuna mcnina mmoja yeye ndiye alikomesha kwa kula wakati kuko kwenyefukwe tukifurahi si akapita muuza madafu !! la! haula yule mchini akataka madafu watu waka msihi kutoka na vyakula ulivyo kula usile dafu sasa hivi jamaa akukubali nakulazimishwa apewe madafu mawili akapewa baada ya nusu saa yule mchina mambo tumboni yakawa yameharibika akaanza kulala mika akisema ' Nataka kujamba watu wakamjibu jamba akaona ajaeleweka akarudia tena Nataka kujamba watu tukajubu jamba kwani unamuogopa nani aksema sio hapa tukamuuliza wapi akajibu chooni watu tulicheka sana kumbe alikuwa akimaanisha ku==nya ilibidi tumpeleke mahala husika hivyo ndivyo nilivyo uanza mwaka 2013
 
Back
Top Bottom