Nilitarajia Jokate atakiwe kuolewa

Kunywa kinywaji ukipendacho bill kwangu.
πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘πŸ½

 
Ongeza nguo povu linatosha.
 
Duh...!, wabongo kwa masimango!. Kama mchumba hajatokea, unataka Jokate ajibebishe popote ili kuoelewa watu waone ameolewa?. Kwani kuwa kuolewa au kuwa ni mke wa mtu ni miongoni mwa sifa za uteuzi?. What has kuolewa got to do with uongozi?. Nikutajie majina ya wanawake 10 viongozi wa juu kabisa tena wengine hadi kuongoza mihimili na hawakuwahi kuolewa?.

Mwacheni Joketi kwenye maisha binafsi, tusimuingilie, akitokea mchumba Mungu aliyempangia, ataolewa, tusimlazimishe!.
P
 
Ww mzee unajishushia heshima, tunajua ww ni fundi wa kugeuza maneno, tulia na uzee wako huo, angekuwa binti yako ungefurahi
 
Hivi moderator mmefuta threads yangu afu mnaunga comment yangu kwenye huu ujinga, hivi motto wenu wa kuongea waziwazi mnauzingatia? Acheni hizi tabia zinaudhi watu
 
Najaribu kutengeneza picha ya mzee baba kafikishwa Uhuru peak kule Kilimanjaro nashindwa kuipata naambulia miguno tuu.
Hujui ndio maana pace maker ilimaliza chaji yote! Jokate ni Muuaji for sure!! akamatwe haraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…