Poleni sana mwite na King Kong III tuliwambia MWAMBA hatoboi mkabisha. Nendeni nae mkatafute mafekeche.Naomba kupata maoni yako Fundi Mchundo
Poleni sana.Uko spot on. Mimi nilikuwa na bado ninamuunga mkono Mbowe. Ila nilikuwa naombea Lissu ashinde kwa sababu maneno yake na ya wapambe wake yaliashiria fujo kama angeshindwa. Mtu ambae aliangalia tu wakati mtu aliyefanya nae kazi kwa karibu kwa miaka zaidi ya 20 akitukanwa na kusimangwa kwangu mimi hana integrity. John McCain alijijengea heshima kubwa alipomkatiza shabiki wake aliyesema kuwa Obama ni muislamu na sio mzalendo. McCain alimwambia yule mama kuwa " hapana, tunatofautiana mawazo na Obama lakini ni mtu anayestahili heshima na ni mzalendo". Lissu badala yake akawa ana chochea moto kwa tuhuma zisizokuwa na kichwa na miguu za pesa za Abduli. Make no mistake, aliyekuwa akimlenga ni Mbowe, sio Wenje.
Hawa ndio watu waliosema kuwa CDM imeoza, imejaa rushwa. Wataaminika na nani wakisema tofauti ya hivyo? Wengi sana wanalia machozi ati wakimpongeza na kumshukuru Mbowe.
Hiyo propaganda ya uchaga haijazimwa. Bado kuna wakina Lema. Na kwa vile watu wametambua kuwa siasa za maji taka zinalipa, watu waangalia na kujiuliza waislamu wako wapi?
Ni vigumu sana kulirudisha jini ndani ya chupa ukilifungulia. Tuombe Mungu kuwa watatambua makosa yao na kujisahihisha. Lakini I am not holding my breath. Kuna saying inasema " uwe muangalifu sana unapomuomba Mungu kitu maana anaweza kukupa ulicho omba".
Amandla...
Mkuu Fundi Mchundo heshima sana.Ngongo, uko spot on. Mimi nilikuwa na bado ninamuunga mkono Mbowe. Ila nilikuwa naombea Lissu ashinde kwa sababu maneno yake na ya wapambe wake yaliashiria fujo kama angeshindwa. Mtu ambae aliangalia tu wakati mtu aliyefanya nae kazi kwa karibu kwa miaka zaidi ya 20 akitukanwa na kusimangwa kwangu mimi hana integrity. John McCain alijijengea heshima kubwa alipomkatiza shabiki wake aliyesema kuwa Obama ni muislamu na sio mzalendo. McCain alimwambia yule mama kuwa " hapana, tunatofautiana mawazo na Obama lakini ni mtu anayestahili heshima na ni mzalendo". Lissu badala yake akawa ana chochea moto kwa tuhuma zisizokuwa na kichwa na miguu za pesa za Abduli. Make no mistake, aliyekuwa akimlenga ni Mbowe, sio Wenje.
Hawa ndio watu waliosema kuwa CDM imeoza, imejaa rushwa. Wataaminika na nani wakisema tofauti ya hivyo? Wengi sana wanalia machozi ati wakimpongeza na kumshukuru Mbowe.
Hiyo propaganda ya uchaga haijazimwa. Bado kuna wakina Lema. Na kwa vile watu wametambua kuwa siasa za maji taka zinalipa, watu waangalia na kujiuliza waislamu wako wapi?
Ni vigumu sana kulirudisha jini ndani ya chupa ukilifungulia. Tuombe Mungu kuwa watatambua makosa yao na kujisahihisha. Lakini I am not holding my breath. Kuna saying inasema " uwe muangalifu sana unapomuomba Mungu kitu maana anaweza kukupa ulicho omba".
Amandla...
Sasa mnataka kumgeuza Mbowe Biden? Legacy ya Mbowe imejengeka zaidi kwa kuendesha uchaguzi uliokuwa wazi na huru. Na kwa kukubali matokeo. Lissu alimshauri apumzike baada ya kutangazwa mshindi. Sasa kwa nini mnaendelea kumfuata fuata? Hamna luxury hiyo maana uchaguzi mkuu ni kesho tu. Wenzenu waliisha anza kampeni.Mbowe alitakiwa ku step aside kabla ya uchaguzi, kilichotokea kime hurt legacy yake Kwa kiwango kikubwa
Binafsi nimemdharau sana Lissu na mashabiki zake wengi… walieneza shutma na kashfa mbaya sana Mara ooh pesa zinagawiwa Chooni Mara Samia na Mbowe wamekubaliana kuongeza pesa kwenye uchaguzi hii issue Lissu atailipia vibaya sana!Ngongo, uko spot on. Mimi nilikuwa na bado ninamuunga mkono Mbowe. Ila nilikuwa naombea Lissu ashinde kwa sababu maneno yake na ya wapambe wake yaliashiria fujo kama angeshindwa. Mtu ambae aliangalia tu wakati mtu aliyefanya nae kazi kwa karibu kwa miaka zaidi ya 20 akitukanwa na kusimangwa kwangu mimi hana integrity. John McCain alijijengea heshima kubwa alipomkatiza shabiki wake aliyesema kuwa Obama ni muislamu na sio mzalendo. McCain alimwambia yule mama kuwa " hapana, tunatofautiana mawazo na Obama lakini ni mtu anayestahili heshima na ni mzalendo". Lissu badala yake akawa ana chochea moto kwa tuhuma zisizokuwa na kichwa na miguu za pesa za Abduli. Make no mistake, aliyekuwa akimlenga ni Mbowe, sio Wenje.
Hawa ndio watu waliosema kuwa CDM imeoza, imejaa rushwa. Wataaminika na nani wakisema tofauti ya hivyo? Wengi sana wanalia machozi ati wakimpongeza na kumshukuru Mbowe.
Hiyo propaganda ya uchaga haijazimwa. Bado kuna wakina Lema. Na kwa vile watu wametambua kuwa siasa za maji taka zinalipa, watu waangalia na kujiuliza waislamu wako wapi?
Ni vigumu sana kulirudisha jini ndani ya chupa ukilifungulia. Tuombe Mungu kuwa watatambua makosa yao na kujisahihisha. Lakini I am not holding my breath. Kuna saying inasema " uwe muangalifu sana unapomuomba Mungu kitu maana anaweza kukupa ulicho omba".
Amandla...
Poleni sana na endeleen kuumia na kama mkiona vipi hameni chama. Lissu ndio mwenyekiti kwa sasa mpaka 2029 wanachama watakapoona hafai watamuondoa lakini kwa sasa ndio hitaji la wakati. Nendeni na Mbowe mkatafute mafekeche kama alivyosema.Binafsi nimemdharau sana Lissu na mashabiki zake wengi… walieneza shutma na kashfa mbaya sana Mara ooh pesa zinagawiwa Chooni Mara Samia na Mbowe wamekubaliana kuongeza pesa kwenye uchaguzi hii issue Lissu atailipia vibaya sana!