kizibo1
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 1,187
- 766
Kulikuwa na mgongano wa kimaslahi kwenye shekeli
Serikali inahitaji kukusanya kila senti leo iruhusu simu kufungiwa mawalisiano? Haiwezekani
Mbaya zaidi simu tajwa zimelipiwa kodi zote halali sasa kosa ni la mnunuzi au Serikali?
Yule jamaa aliyefungua kesi alisaidia sana. Zilizozimwa ni vimeo hasa
Takwimu za kusema Miezi sita iliyopita simu bandia zilikuwa asilimia 33 na sasa ni asilimia 3 tu ni uongo wa kunyonya! Kwa Tanzania ipi? Hii ya ccm? Tumepigwa changa la macho
Kenya ndio walifanya kweli walizima simu 1.6Milion lakini mtikisiko ulikuwa mkubwa mno mpaka nadhani wakaahirisha zoezi kimoja