Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #301 joshydama said: Dahhh embe limemdondokea mwenye njaa. Click to expand... Punguza taarabu
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #302 Asprin said: Ewaaaaaaa.... hapo sasa napata faraja moyoni... Click to expand... Ukiwa na furaha ndo shibe yangu bae
Asprin said: Ewaaaaaaa.... hapo sasa napata faraja moyoni... Click to expand... Ukiwa na furaha ndo shibe yangu bae
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 16, 2017 #303 Sakayo said: Ukiwa na furaha ndo shibe yangu bae Click to expand... You can say that again, darling.
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,197 Mar 16, 2017 #304 Asprin said: You can say that again, darling. Click to expand... Swahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako.
Asprin said: You can say that again, darling. Click to expand... Swahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako.
JMFarhan Member Joined Mar 12, 2017 Posts 28 Reaction score 24 Mar 16, 2017 #305 Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... Niliskia kwamba eti ww unaogopa kushikwa maziwa ili yasilegee
Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... Niliskia kwamba eti ww unaogopa kushikwa maziwa ili yasilegee
joshydama JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 4,623 Reaction score 5,049 Mar 16, 2017 #306 Sakayo said: Punguza taarabu Click to expand... Taarabu wapi wewe? Roho inaniuma sana maana nakuelewa sana Ila siyo ishu sana maana babu ashachoka huyo.
Sakayo said: Punguza taarabu Click to expand... Taarabu wapi wewe? Roho inaniuma sana maana nakuelewa sana Ila siyo ishu sana maana babu ashachoka huyo.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 16, 2017 #307 Daby said: Swahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako. Click to expand... Si unajua tena nshaanguka mapenzini??
Daby said: Swahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako. Click to expand... Si unajua tena nshaanguka mapenzini??
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #308 Daby said: Swahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako. Click to expand... Amebebika wapi tena, Hebu nielekezemo shem
Daby said: Swahiba kila nikichungulia huku nakuta unabebika. Bila shaka huu mwaka wa neema kwako. Click to expand... Amebebika wapi tena, Hebu nielekezemo shem
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #309 Asprin said: You can say that again, darling. Click to expand... Love you much
Francis Mawere JF-Expert Member Joined Nov 17, 2015 Posts 966 Reaction score 840 Mar 16, 2017 #310 Nasikia kwamba Eti JF karibu Robo tatu ni ....
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,197 Mar 16, 2017 #311 Asprin said: Si unajua tena nshaanguka mapenzini?? Click to expand... Ama kweli penzi mwana nyegezi. Haya swahiba kila la kheri
Asprin said: Si unajua tena nshaanguka mapenzini?? Click to expand... Ama kweli penzi mwana nyegezi. Haya swahiba kila la kheri
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,197 Mar 16, 2017 #312 Sakayo said: Amebebika wapi tena, Hebu nielekezemo shem Click to expand... Wewe utamuua sio kwa hayo mahaba... mzee wa watu akigeuka huku busu akielekea kule anaitwa kwa sauti nyororo. Mungu akupe nini swahiba! !
Sakayo said: Amebebika wapi tena, Hebu nielekezemo shem Click to expand... Wewe utamuua sio kwa hayo mahaba... mzee wa watu akigeuka huku busu akielekea kule anaitwa kwa sauti nyororo. Mungu akupe nini swahiba! !
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #313 Tombstone Piledrive said: Nilisikiaga kwamba etiiiii ukiweka kijiti kichwani huchapwi kamaumefanya kosaa Click to expand... Nilisikia kwamba eti ukiweka kitunguu kwapani, mwalimu akikuchapa unaweza zimia ili umtishe!
Tombstone Piledrive said: Nilisikiaga kwamba etiiiii ukiweka kijiti kichwani huchapwi kamaumefanya kosaa Click to expand... Nilisikia kwamba eti ukiweka kitunguu kwapani, mwalimu akikuchapa unaweza zimia ili umtishe!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 16, 2017 #314 Daby said: Ama kweli penzi mwana nyegezi. Haya swahiba kila la kheri Click to expand... Asanta swahiba... usisahau dua zako. Nsijevunjwa moyo na bebi wangu
Daby said: Ama kweli penzi mwana nyegezi. Haya swahiba kila la kheri Click to expand... Asanta swahiba... usisahau dua zako. Nsijevunjwa moyo na bebi wangu
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 16, 2017 Thread starter #315 lee empire said: Nilisikia kwamba eti mondray ulimsingizia ...... Click to expand... Kumsingizia nini?
lee empire said: Nilisikia kwamba eti mondray ulimsingizia ...... Click to expand... Kumsingizia nini?
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 16, 2017 #316 joshydama said: Taarabu wapi wewe? Roho inaniuma sana maana nakuelewa sana Ila siyo ishu sana maana babu ashachoka huyo. Click to expand... Roho yauma nini tena jamani, pole Babu kachoka wapi, ana nguvu ka simba
joshydama said: Taarabu wapi wewe? Roho inaniuma sana maana nakuelewa sana Ila siyo ishu sana maana babu ashachoka huyo. Click to expand... Roho yauma nini tena jamani, pole Babu kachoka wapi, ana nguvu ka simba
joshydama JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 4,623 Reaction score 5,049 Mar 16, 2017 #317 Asprin said: Si unajua tena nshaanguka mapenzini?? Click to expand... Sema nyota yako Kali sana aisee jamaa yangu.
Asprin said: Si unajua tena nshaanguka mapenzini?? Click to expand... Sema nyota yako Kali sana aisee jamaa yangu.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Mar 16, 2017 #318 joshydama said: Taarabu wapi wewe? Roho inaniuma sana maana nakuelewa sana Ila siyo ishu sana maana babu ashachoka huyo. Click to expand... Sakayo naomba ufafanuzi hapo kwa red...
joshydama said: Taarabu wapi wewe? Roho inaniuma sana maana nakuelewa sana Ila siyo ishu sana maana babu ashachoka huyo. Click to expand... Sakayo naomba ufafanuzi hapo kwa red...
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,197 Mar 16, 2017 #319 Asprin said: Asnata swahiba... usisahau dua zako. Nsijevunjwa moyo na bebi wangu Click to expand...
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Mar 16, 2017 #320 Paprika said: Kumsingizia nini? Click to expand... Nimeunga mkonyo thread