Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 15, 2017 #1 Habari wana-chit-chat! Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...." Mfano; Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
Habari wana-chit-chat! Anza sentensi kwa maneno "Nilisikia kwamba eti...." Mfano; Nilisikia kwamba eti ukikaa kimya kwa mda mrefu kinywa kinanuka.!
jerryf JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 292 Reaction score 354 Mar 15, 2017 #2 Nilisikia kwamba eti daud ni paul
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,753 Mar 15, 2017 #3 Nilisikia kwamba eti JPM ni _____
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 15, 2017 Thread starter #4 Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka!
varangati JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,726 Reaction score 1,628 Mar 15, 2017 #5 Nilisikia eti kolomije kuna naniliu................................
Emmadogo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,126 Reaction score 3,779 Mar 15, 2017 #6 Nilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini
Nilisikia kwamba eti mkuu wa kijiji kumbe anakula marinda ya yule kijana mwenye mbwebwe aneongoza mtaa wa baharini ndio maana anamlinda asitolewe kijijini
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 Mar 15, 2017 #7 Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... nilisikia kwamba eti ulichoandika hapo tayari kimeshakutokea
Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... nilisikia kwamba eti ulichoandika hapo tayari kimeshakutokea
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,360 Mar 15, 2017 #8 Niliskia kwamba eti ikifika muda huu natakiwa nilale
uncle..m Senior Member Joined May 6, 2015 Posts 140 Reaction score 133 Mar 15, 2017 #9 Nilisikia kwamba eti serikali haina pesa....
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,180 Reaction score 24,798 Mar 15, 2017 #10 Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... Nilisikia eti yakindondoka yanapasuka....
Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... Nilisikia eti yakindondoka yanapasuka....
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,857 Reaction score 89,753 Mar 15, 2017 #11 Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... Viva JF! Freyzem said: Nilisikia eti yakindondoka yanapasuka.... Click to expand...
Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... Viva JF! Freyzem said: Nilisikia eti yakindondoka yanapasuka.... Click to expand...
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 15, 2017 Thread starter #12 joanah said: Viva JF! Click to expand...
hosh kosh JF-Expert Member Joined Mar 2, 2017 Posts 748 Reaction score 572 Mar 15, 2017 #13 Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... duh..sentensi hii ni tungo tata
Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... duh..sentensi hii ni tungo tata
Q Quarteman Senior Member Joined Jul 31, 2016 Posts 129 Reaction score 169 Mar 15, 2017 #14 Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... Nilisikia eti kabla ya kulegea yanaiva ndipo yadondoke! Freyzem said: Nilisikia eti yakindondoka yanapasuka.... Click to expand...
Paprika said: Nilisikia kwamba eti mwanamke akishikwa maziwa sana yanalegea na kudondoka! Click to expand... Nilisikia eti kabla ya kulegea yanaiva ndipo yadondoke! Freyzem said: Nilisikia eti yakindondoka yanapasuka.... Click to expand...
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,728 Mar 15, 2017 #15 Paprika time!!.........Safi sana,mda wa kupaprika umewadhia tena!
Paprika JF-Expert Member Joined Feb 25, 2017 Posts 5,950 Reaction score 9,880 Mar 15, 2017 Thread starter #16 Behaviourist said: Paprika time!!.........Safi sana,mda wa kupaprika umewadhia tena! Click to expand... Nimejibu ombi lako mkuu!
Behaviourist said: Paprika time!!.........Safi sana,mda wa kupaprika umewadhia tena! Click to expand... Nimejibu ombi lako mkuu!
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,728 Mar 15, 2017 #17 Paprika said: Nimejibu ombi lako mkuu! Click to expand...
Te Lavista JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,626 Reaction score 2,847 Mar 15, 2017 #18 Nasikia paprika alikua baby wa Mondray, ila paprika akampa ban Teh teh teh nimewaza tu
dadu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 475 Reaction score 332 Mar 15, 2017 #19 joanah said: Nilisikia kwamba eti JPM ni _____ Click to expand... Ni Juma
C CTX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,273 Reaction score 986 Mar 15, 2017 #20 joanah said: Nilisikia kwamba eti JPM ni _____ Click to expand... malizia sasa....