Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Hakuna mzalendo au akina mafweza na wazee wa PGOHuna haja kukimbia. Tutapambana humu humu kukirejesha kwenye mikono ya mtu mzalendo.
Ccm hasa ni wapi? Hapo uliposimama waweza kuisidia nchi yako bila uchama. Watu wanaosema wanarudi ccm sidhani kama akili zao ni timamu zaidi ya ulafi tu na unafiki.habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.
Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamuHabari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.
Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
wewe sio mwanachama wa kweli. wenzio huwa wanabaki kulekule ila wanamsapoti mtu kutokea kulekule. sasaivi jpm hayupo, utarudi nyumbani tena na pengine ulishajisaidia kwenye kambi?Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.
Lakini Sasa naomba tufanye hima jamani 2025 tutafute hata chama Cha kuokoteza tukiweke sio chama hichi cha majizi, maongo, mijityamadili yaani Hawa jamaa imekua sio uchawi tu Ila ni laana. Walimesema warudisha democracy, democracy nikudanganyana
Hilo wazo haliwezekani, lazima kutakuwa na chaosWenzako hatufikirii kujiunga na vyama, we think how to kill the government! Yaani tuishi pasipo serikali, tunajaribu kuwashawishi na jamaa zetu wa nchi nyingine to fight kuziondoa serikali za dunia ili binadamu wa enjoy freedom without magereza, shule, medical system, majeshi, banking system nk.
Na dawa yake ni ndogo sana, usilipe kod, usitumie huduma za serikali, na pia usiifanyie kazi serikali na system zake
Umeongea point kubwa kabisa,sisi wenye miaka 47 sasa hivi imawezekana tukashangilia ushindi wa kuiondoa ccm kaburin,kutokana na kiwango chetu watanzania cha kuishi,Habari ya jpili jamani ni hivi mnamo 2015 nilikua kijana wa miaka18 nilipinga huu utawala huu wa kijani. Lakini mwendazake akasaidia kidogo kunishawishi kuona kwamba kunaweza kuwa na tija.