Nilipomwambia hadi tupime hiv status.

yani mimi ni Mwalimu wa shule za kata na yeye alikua msingi huko vikindu mkuranga sema kahamia Dar na nilipokutana nae kaniambia mi najiendeleza mzumbe na Duploma
 
the Boss Picha yako kama vile nshakuona kwe ukumbi mmoja kwe harisi flani hivii ila ni wawili wawili dunian
 
sio kujiplizi naomba ushuri mana nampenda ila kupima hataki

kama unampenda na bado unatuuliza hautaki tumia akili yako kukimbia au kujikinga(ukiomba mungu asitoboe au isitoboke) basi ingia ukiupata si utajuta na kulia maishani kwa ujinga

wewe mtu ataki bado unatuuliza eti unampenda haya mpende na tumia akili kichwani

umeniuzi kwa kweli ushauri tukisema lala nae utaridhika na majibu????

muulize kwa nini hataki na mwambie live kuwa unamuacha kwa sababu hataki kupima. ukishindwa basi lala na juta mbele

n.b. kama angekuwa anakupenda na anajua hana angekimbilia kupima.....think
 
Kama hataki kupima anaiogopa damu yake basi achana nae,na bwana weye nadhani ulikua na mwengine kabla ya kukutana nae na baada ya kuachana nae ss leo karudi tena huoni kama analake jambo? weye mtu mzima bwana ebu kaa chini ufikiri kidogo jawabu utalipata.
 
Na ni kua kila nikikumbuka sauti yake napagawa,nikikumbuka sura yake nataka awe wangu
 
Arabiani lakini kumbuka nampenda,na hakuna njia mbadala tofauti na kumwacha,
 
Mr mbongopopo ni kweli ila bado hatujapatana sb hataki kupima na nimemuuliza anadai namdharau,na kumbuka sijapata jibu kwa nini hataki,
 
sio kua natapeli naandika uongo,ni live,nisingepoteza mda kuomba maoni ndugu
 
lakini kuna mwana jf kasema kua inaekataa co kua ndo anao ila naataka kuthibitisha na mie kondomu siamini mana zapasukaga yahe
 
sidhani kama ulimshawishi vya kutosha.ongea nae kwa umakini na umweleze nia yako kwake akikataa basi mpige chini lkn 2008 mpaka 2012 parefu.
 
ani kaskazini mwa tz namaanisha Kilimanjaro ndo home,na bagamoyo ndo nlikua naishi huko ila kwa sasa nipo mbeya
 
Mtekula nimekuelewa ila suala la kumpiga chini nadhani ni hatua ya mwisho,asante lakini moyo ukimfikiria afu nimpige chini
 
nina wasiwasi na wewe haiwezekani toka 2008 had leo halafu unapigiwa simu unaenda nahisi wewe ndo uanze kwenda kwa dokta ndo uende na mwenzio manake there is something behind confusing your mind:cheer2:
 
Dogo kula mzigo:hatari: lakini vaa dawa ya mapenzi,ukishindwa basi shikilia msimamo wako no kupima no kugonga ngozi.
 
Sumai ni kua Toka 2008 alikua hapatikani kwenye simu na sometimes nilikua namiss,mimi nipo tayari kupima sina tabu,yeye ndo nahofia mana kipindi kile alikataa tukatengana,na nimeenda maana aliniuguza
 
wavulana wengine wana akili za ajabu sana, mtu unatoka kwako,unafahamu yaliyowahi tokea huko nyuma....kinachoenda kukulaza kwake ni nini? si utafute walau hoteli au guest house maeneo ya jiraji ukakae hapo mkishamaliza mazungumzo....unajipumzikia unaondoka....huu ulelemama na upenda vyepesi wa wavulana na wanaume wengi utawagharimu sana....kuna tatizo katika malezi....uanaume umebaki kuzaliwa hivyo na si ki matendo na mienendo!

Hataki kupima kwasababu we kwake ni wa kupita....hakupendi anataka mbilimbi yako!
 
Sijalala kwake,tulilala guest na jua kua nafata maadili ili nije muoa,na hata haniombi pesa kama una vyodai dada
 
Back
Top Bottom