MKONGA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 667
- 453
Jana nikitokea zangu mjini,Nikapita Uhuru Peak Bar kinondoni nikaona sio mbaya nikipata moja ya baridi na kongoro ili foleni nayo ivute vute.
Nilistaajabu ilipotimu saa mbili kamili walizima muziki na kuweka taarifa ya habari.
Nilivutiwa sana na ule utaratibu wa kupata newz za kutwa mezani nikiwa na ka Lite ka bariidi.
Mamziki mziki sometimes yana nafasi yake lakini habari ni muhimu hata kama tunakuwa kwenye ulevi.
Hongereni sana Uhuru Peak kwa mtindo huo, mmenipata.Hapo litakuwa chimbo langu la kupunguzia foleni na kumfuatilia Ngosha na matamko yake.