Nilioyaona matossa -dar yanasikitisha

Nilioyaona matossa -dar yanasikitisha

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,194
Reaction score
3,959
Maisha ya watu wanaishi ng'ambo ya shule ya msingi matossa baada ya kuvuka
Maporomoko ya maji wnaishi maisha ya kizamani imagine jiji km Dar watu hao wanaoshea vyombo mtoni, yaani vyombo vyote vinaushewa mtoni kweli?

Hio sehem huwa kunauvunaji wa mchanga kwaajili ya ujenzii ni sehemu chafu sana kuoshea vyombo maeneo hayo ni hatari kwa afya .

Wabeba mchanga wanajisaidia hovyo hayo maji watu wanatumia kupikia chakula hii hali ni mbaya hasa mtaa huo unaopatikana ukivuka shule kwa chini ni hatari
 
Mattosa ndo sehem gani Dar?
 
Si pale pako karibu na dampo kubwa liko hapo kwenye ukingo wa huo mto? Dah watu pale wachafu sana
 
Apo apo huo mfereji yale maji yaflow ad huku ma watu wanatumia kupikia wenine kunywa kbs
Nimepita hapo last week nikapaona na wengine walikuwa wanakusanya mchanga wa kupakia kwenye malori... Aisee pale ni tatizo kubwa kwa afya za watu, hasa wanaotumia yale maji kuoshea vyombo na kunywa.
 
Back
Top Bottom