KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,075
Nikipomleta Sheikh anifanyie dua kwenye biashara yangu, watu wote wakanichukia na kuanza.kusema Mimi ni mchawi.
Kuanzia siku hiyo kila MTU anamwaga maji na mafuta kwenye frem yake kama wamepagawa, wengine wanaongea maneno hayaeleweki, wengine wanaimba, wengine wananong'ona, mie niko zangu kimyaaaaaaa, najiokotea mbilimbili zangu kwa raha zangu.