We sema tu kuwa, kuna vibweka ulimfanyia....! zaidi ya kumchunia.
Hivi mimi ushanifanyia vituko mbele ya kadamnasi, umeniadhiri mbele ya walimwengu. Kesho unataka turudiane ni lazima nifikiri mara kumi zaidi.umeona eeh, cajab kaonja kwngn huko kaona hapafai ndo anajrudsha na kuujua umuhim wake
Kwako mtani mtaalam wa mahaba, sijui utashauri nini zaidi ya hii pointi yako.mambo ya kawaida haya kwenye mapenzi,kama anajitia mgumu na wewe uchune,kuna siku atakutafuta,wanawake ndo walivyo.
Hivi mimi ushanifanyia vituko mbele ya kadamnasi, umeniadhiri mbele ya walimwengu. Kesho unataka turudiane ni lazima nifikiri mara kumi zaidi.
Mleta mada kuna kikubwa kibaya alichomfanyia binti wa watu!
mambo ya kawaida haya kwenye mapenzi,kama anajitia mgumu na wewe uchune,kuna siku atakutafuta,wanawake ndo walivyo.
ndugu wana JF,NILIKUWA NA MPENZI WANGU, BAADA YA KUWA NAYE KWA MUDA KAMA WA MIEZI 3 HIVI, nilianza kumuona kama wa kawaida tu na hakuna tofauti ya kuwa naye au kutokuwa naye, nikaamua kuwa kivyangu na kukaa kimya japo alitaka nimjulishe nini kimenipata lakini nikadharau, sasa nimegundua kuwa kumbe alikuwa muhimu kwangu kuliko nilivyodhani. Namuomba turudishe penzi letu lakini ananiambia ananiogopa sababu mi ni katili na hataki kulia tena kama awali.
I AM CONFUSED!!!!!!!!!!!!!!!!!
remain confused....
Majitu kama nyie ndo mnafanya mademu watuone wanaume wote makatili!sa ulimtongoza wa nin ka ulijua ni wa kawaida tu?