Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Oct 15, 2017 #1 Nilimtembelea rafiki yangu mpendwa. Mkewe akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama tele. Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejazwa wali na kachumbari tu. Baada ya kula nikamuuliza rafiki yangu, *"kulikoni watoto wale wali na kachumbari tu ilhali sisi tumekula minyama kibao?"* Akanijibu kwa kujianini, *"sasa unategemea nifanye nini wanaposema hawali PANYA?"* *Bado natapika*
Nilimtembelea rafiki yangu mpendwa. Mkewe akatutengea wali kwenye sahani zilizojaa minyama tele. Ajabu ni kwamba sahani za watoto wake zilikuwa zimejazwa wali na kachumbari tu. Baada ya kula nikamuuliza rafiki yangu, *"kulikoni watoto wale wali na kachumbari tu ilhali sisi tumekula minyama kibao?"* Akanijibu kwa kujianini, *"sasa unategemea nifanye nini wanaposema hawali PANYA?"* *Bado natapika*
Kilawo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 1,918 Reaction score 3,369 Oct 15, 2017 #4 Hahhhahhh
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,159 Reaction score 72,199 Oct 15, 2017 #5 Aisee ni shida
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,557 Oct 15, 2017 #7 Nguo kuchanika
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,205 Reaction score 6,781 Oct 15, 2017 #8 Duuh.. Umelishwa panya mkuu
Sammo Hung JF-Expert Member Joined Aug 4, 2017 Posts 1,165 Reaction score 1,355 Oct 15, 2017 #9 Ungeuliza kabla ya kula ungenusurika..
goodfool JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 1,668 Reaction score 996 Oct 15, 2017 #10 Panya nakula,,, he, ustapike
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,146 Oct 15, 2017 #11 Ha hahahaaaa
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,935 Oct 15, 2017 #12 Hatari sana. Pole mkuu
mind ur bussness JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 1,050 Reaction score 743 Oct 16, 2017 #13 Uuuuuuwiiii
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,216 Reaction score 12,603 Oct 16, 2017 #14 Wewe pia ni mroho, huwezi kuuliza kwanini watoto hawapewi nyama mpaka umemaliza..tabia hii si nzuri
C CTX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 1,273 Reaction score 986 Oct 16, 2017 #16 ila ni watamu sana
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Oct 16, 2017 #17 kwa wamakonde haina shida ni kitoweo tosha
Seaman86 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 370 Reaction score 408 Oct 18, 2017 #18 Siku nyingine ukila usiulize amsha zako tu usije kuambiwa gharama za chakula n laki moja ukafikiri mgeni hatozwi Wanatozwa kaka kidizaini
Siku nyingine ukila usiulize amsha zako tu usije kuambiwa gharama za chakula n laki moja ukafikiri mgeni hatozwi Wanatozwa kaka kidizaini
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Oct 20, 2017 Thread starter #19 SK2016 said: Hatari sana. Pole mkuu Click to expand... Angalau we peke yako umenipa pole .... asante mkuu!
SK2016 said: Hatari sana. Pole mkuu Click to expand... Angalau we peke yako umenipa pole .... asante mkuu!