..nilimsahau but amejileta tena..

Ucje ukafanya kosa la kumpenda we kula mzigo usepe at least na yy umuonyeshe ushamba wk,umle tigo ikiwezekana mamaye
 
Reactions: SMU


ndugu yangu usiache mbachao kwa msala upitao na usidharau dafu wakati embe tunda la msimu yaani temana naye huyo dada:smile-big:
 
Kama angekuwa anakupenda angekupenda toka mwanzo bila kujali ushamba wako ..naona sasa kaona uko powah kimaisha ndo maana amerudi
Take care
 
... Jiandae ku R.I.P

Huyu aliyekuambia jiandae ku R.I.P hajakosea kabisaaaa! wanawake wanaotoka huko machame ni WATATA BALAA!! Hata wanaume wa Machame wanaogopa kuoa kwao!! Na tena una biashara zako binafsi na ajira tu!!! Huyo utadumu nae kwa few years then uta-R.I.P unamwacha anakula bata!!! Stay away from her, she was not a right choice to you, mwombe Mungu akupe mke aliye sahihi kwako, usiende kichwa kichwa itaku-cost ndugu yangu. Huyo temana naye kabisa!!!
 

Mwana una mauzoefu kha!
 
Keshaungua huyo anatafuta wa kufa naye usile matapishi yako kama alijua utakuwa na umuhimu ni bora angekuzungusha kuliko kukupiga kibuti, vibuti vinauma unaweza siku moja ukaitaji kulivenge na hapo ndo kutakuwa hakuna ndoa, achana nae.
 
Naona we tutakuzika mda si mrefu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…