..nilimsahau but amejileta tena..

ASEE WAMACHAME SIO wanawake wa kuoA! Atakuja kukuua achukue mali zote!!!!!
 
Kwa kifupi hakupendi wewe kama ulivyo, anapenda some material things tu that's why alikuona mshamba, sasa ushamba umekutoka na pengine unavutia ndio anajirudisha kwa kisingizio cha kukupenda. Ukibadilika tena kesho mfano ukifulia, ukipata ajali au ulemavu jua huyo atakutosa tu; anafuata vitu hajali utu.
 

Achana naye. Alishasema wee ni mshamba. Kaa mbali naye.
 
We jiulize tangu ukiwa first yr mpk umemaliza chuo unapata kazi ameshatoka na wangapi na ni nini kimemfanya kumtafuta mshamba. Labda keshanunua shamba anamtafuta mshamba wa kumlimia.
We achana naye kuna wanawake wengi sana hapa duniani ila ni bora ukammega japo mara moja ili kupunguza machungu na kujenga heshima.
Usisahau kinga mkuu
 
May be kabadilika kweli , ulikuwa utoto


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu mbona jibu unalo tayari!? au umeshakuwa wa MUJINI siku hizi na hivyo kuachana na USHAMBA!? Akili mkichwa!!!



 
Last edited by a moderator:
Mchukulie Kama mtu wa kawaida,usilipize kisasi kwakufanya nae mapenzi kwani Kama ulikua mshamba wakati umevaa nguo basi ukishazivuaa ndio itakua anaweza kuzimia, kwaufupi usiwe n'gombe kutia ulimi wako puani,au huli ulichotapikaa..mwambie ajipange...
 
Kama moyo ulikupasuka paa kama ulivyosema
basi bora ujaribu uone utaishia nae wapi
usikimbilie ndoa
we anza nae taratiibu....atasomeka mbele
 
Waogope sana wapalestina.ukiingia hautoki mpaka atake mwenyewe!ameona unamaendeleo Fulani ndo anataka kujishebedua kuwa anakupenda.hawa watu wakioana wenyewe kwa wenyewe ndoa zao ndo zinakuwa zimetulia kwani ndugu wa mume wakorofi na ndugu wa mke wakorofi kwahiyo inakuwa saresare maua.waogope sana
 
.
Kila nafsi itaonja mauti. The same to you!

Sikio la kufa...!!

Eti umesema anafanya kazi and she is ready for marriage?!
kuna uhusiano gan hapo?

Binafsi huwa nafikiria kuwa mtu huamua kuwa na mwingine kimapenzi kwa sababu zifuatazo:

Moja; kwa kuwa ni mtu sahihi na muda ni sahihi! Hapa kuna nafasi kubwa ya kuwa na furaha katika mahusiano

Mbili; kwa kuwa muda ni sahihi na mtu ndio huyo aliyepo, hata kama sio mtu sahihi! Huyu huendelea kuwa na wengine anaodhani ni watu sahihi kwake kwa kuwa hao alishindwa kuwa nao katika muda sahihi kwake!

Tatu; mtu asiye sahihi kwa kuwa muda usio sahihi; Hapa mmoja anaamua kuwa na mwingine ili tu kuondoa hisia za upweke ama kujisahaulisha na matatizo yaliyompata! Ama kulipa kisasi! Yaani ili kupata tulizo tu! Kama kawaida ya binadamu tukishasahau, struggles ziaanza upya!
Huyu akisahau matatizo yake anagundua kuwa huyo aliyenaye sio mtu sahihi.

Mkuu nasikitika wewe umeangukia kundi la tatu. Anakutumia huyo, kama ni kula mzigo tu, kula kaka! Ila kama ni kuweka ndani kama mke, atakusumbua akisahau shida zake!! I can guarantee that to you!
 
Kama moyo ulikupasuka paa kama ulivyosema
basi bora ujaribu uone utaishia nae wapi
usikimbilie ndoa
we anza nae taratiibu....atasomeka mbele

Mkuu, kwa alivyoambiwa zaman hizo hata asingepaswa kuja kuuliza humu, tujiulize tu, ana tofauti gani mda huu na wakati alipomwagwa?! Nini kilichoongezeka? Kwa nini huyo dada anaona now hawezi kumuaibisha kwa rafiki zake?

Inavyoonekana huyu jamaa hawezi kushaurika! Naona umemwambia aende nae taratibu ila nina mashaka kama ataweza.

Atatangaza ndoa miezi michache sana, najua unajua pia kuwa now yeye hana say, anaenda tu maana moyo ulifanya paa!! Anadhani huyo mwanamke kurudi kwake ni suala la bahati na anaona akichelewa kuwa nae atampoteza!

Huu ushauri anaoomba hawezi kuufuata kama ni ushauri kinyume na matamanio yake!
Umeona pale amesema the dada is ready for marriage!! That means keshauliza! Huwezi kuuliza suala zito hivyo kama huna nia maana kama alitaka kumgegeda tu anao uhakika tayari hakuhitaji kumuuliza ndoa si dada alirudi mwenyewe!!

Sijui ila naona huruma tu!
 

si keshaona ushamba umekutoka kiongozi.......kama vp nawe mwambie unaona aibu kuwa nae kwasababu ana dharau,mbaya kwa wateja wa biashara zako:becky:
 

Inaonekana huyo demu una mtaka ila kama ushauri wa wengi achana nae.
 
hapo sikushauri ndugu
amesikia maendeleo yako anafuata ulicho nacho na sio upendo
tafuta mchumba mpya wako wengi sana.
la sivo ujiandae kurestishwa ini pisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…