Wadau niwaulize,
Ulishawahi kupenda mpaka ukajiona zuzu? Nilimpa jamaa moyo wangu mwisho wa siku tumeneemeka akaanza kudokoa nje. Amesahau viapo ahadi na hata familia. Anarudi home kwa sababu zake. Nimechoka nina mpango nijiengue taratibu.
Na kama yumo humu ajue habari ndio hiyo
Umeongea kibabe sana.

Mwanaume kudokoa nje ni kawaida. Hakuna mwanaume mwenye afya njema ambaye hadokoi nje.Wadau niwaulize,
Ulishawahi kupenda mpaka ukajiona zuzu? Nilimpa jamaa moyo wangu mwisho wa siku tumeneemeka akaanza kudokoa nje. Amesahau viapo ahadi na hata familia. Anarudi home kwa sababu zake. Nimechoka nina mpango nijiengue taratibu.
Na kama yumo humu ajue habari ndio hiyo
Umbeya hatuutaki wewe njoo kwa great thinker ukiwa na hoja siyo kidomodomo mamaWadau niwaulize,